Awafim imeenda kama dramacool
Ile nimetoka tu kushukuru hapa na kusifia chuma kikala moto aah mpaka nikajihisi nimewaponza labda afisa doria(wa lissu)alienda kushtaki ubalozini masuala ya copiraiti
binafsi nimeitumia kwa miaka mitatu๐๐๐ nikipata nyingine PM itabid itumike sasa๐คฃ๐คฃ๐คฃjapo ni kawaida kufungiwa hizi website kwa ajili ya copyrightIle nimetoka tu kushukuru hapa na kusifia chuma kikala moto aah mpaka nikajihisi nimewaponza labda afisa doria(wa lissu)alienda kushtaki ubalozini masuala ya copiraiti
Kwa nini waliamua kuiendeleza kwa mfumo wa MovieNasubiri hiki chuma kisambae, kuna mjapani kwenye group kasema ni ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ .
Selikavu, Edo kissy, Mad Max, Razorblade, Watu8, dosho12
View attachment 3410588
Biashara kakaKwa nini waliamua kuiendeleza kwa mfumo wa Movie
Dah ila ni kweli movie zinauza sana kuliko seriesBiashara kaka
Wewe husubilii me nimeshaanza kusoma na Manga yake naona wanichelewesha๐คฃ๐คฃ๐คฃNasubiri hiki chuma kisambae, kuna mjapani kwenye group kasema ni ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ .
Selikavu, Edo kissy, Mad Max, Razorblade, Watu8, dosho12
View attachment 3410588
Sio kwamba inaanza kuonyeshwa Sinema kwanz then ndo wanaachia hajawajabadilisha kituKwa nini waliamua kuiendeleza kwa mfumo wa Movie
Kwa hiyo itakuwa kwenye mfumo ule ule wa series au itakuwa Movie ?Sio kwamba inaanza kuonyeshwa Sinema kwanz then ndo wanaachia hajawajabadilisha kitu
Nimetoka kusoma hapa ni movie basi ya 2 hrs..Kwa hiyo itakuwa kwenye mfumo ule ule wa series au itakuwa Movie ?
Nasubiri hiki chuma kisambae, kuna mjapani kwenye group kasema ni ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ .
Selikavu, Edo kissy, Mad Max, Razorblade, Watu8, dosho12
View attachment 3410588
Mkuu hawa jamaa wana Vitu vikali mnoMzee baba sijawahi kutazama japanese anime pamoja na kupenda kote animation...
Sema niwe mkweli tu huwa naburudika sana nikiangalia Animation aisee.Nasubiri hiki chuma kisambae, kuna mjapani kwenye group kasema ni ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ .
Selikavu, Edo kissy, Mad Max, Razorblade, Watu8, dosho12
View attachment 3410588
Jaribu anza na vitu kama za kina naruto, dragon ball zMzee baba sijawahi kutazama japanese anime pamoja na kupenda kote animation...
๐๐๐
Mkuu hapendi utani wa hilo jina ๐
Kikooongweร80Mkuu hapendi utani wa hilo jina ๐