Uchochezi π€£
huyo ana kelele nyingi, na the only thing we need is the radioππ¦
Sikiliza hiyo nyimbo, uta elewa vizuri.
Sawa ata stream sebuleni, sisi tuta kaa kule mwishoππ¦Kelele nayo ni kitu ya kumzuia mtu asije kustream?
Hamna namuonyesha jinsi gani anavyokataliwa πUchochezi π€£
Sawa ata stream sebuleni, sisi tuta kaa kule mwishoππ¦
Umesha sikiliza hiyo nyimbo?Enhee hapo sasa atleast aje
Kwani umekosa D2 kabisa za kumuelewa?Kelele nayo ni kitu ya kumzuia mtu asije kustream?
Hamna namuonyesha jinsi gani anavyokataliwa π
Mtego huu πSawa ata stream sebuleni, sisi tuta kaa kule mwishoππ¦
Umesha sikiliza hiyo nyimbo?
Rais wake anamkataa waziwazi.Anakataliwa na nani sasa? Manake mie upepo wa kumkataa comrade sina
Kwani umekosa D2 kabisa za kumuelewa?
Nime piga kelele na kuruka ruka , pawa pawa naishiwa pawa ππ¦Anakataliwa na nani sasa? Manake mie upepo wa kumkataa comrade sina
Weka flight mode kabisa.Najaribu kujizima data
Mapenzi yetu tuachie wenyewe, hata jf ina weza ikawa Lodge ππ€£Kwani umekosa D2 kabisa za kumuelewa?
Endelea kuishiwa hizo pawa comrade akuteme, unajisifu unaishiwa pawa mbele yake πNime piga kelele na kuruka ruka , pawa pawa naishiwa pawa ππ¦
Mhh majibu yako yana nipa nguvu ya kujua mapenzi ni utapeliπ€£ππ¦Najaribu kujizima data
πππMapenzi yetu tuachie wenyewe, hata jf ina weza ikawa Lodge ππ€£
Nipe jina la hiki kigongo
Wivu π€£Endelea kuishiwa hizo pawa comrade akuteme, unajisifu unaishiwa pawa mbele yake π
Bure kabisa π