Akikamia halalagi π€£Anabalaa yule, anakabia juu sana π
Tatizo ego mkuu πOption ya kukausha ilikuwa nzuri zaidi π€£
Kuna uzi nilimkimbia, hayuko serious ila hilo balaa lake zito πAkikamia halalagi π€£
Lamomy alitagiwa na yeyeπ€£π€£Halafu Lamomy na wenzie wanazidi kumsagia kunguni na hawataki kumpumzisha π
Huo muda wa kuangalia kama walimtag niliupata basi mie nilikuwa nacheka na troll na Dr tu πLamomy alitagiwa na yeyeπ€£π€£
πππAah unajielezea tuu mbona lipo wazi kingereza wengi ni third languageSema kajikaza kutetea hoja yake ati aliamua kwenda kinyume na uzi
Binafsi ningekuwa yeye ningekaza hapo hapo manake katag watu wengi
Umetisha sana MkuuHizi drama za zamani ukitaka kuzipata nyingi, search KimoiTv huko, hiyo Dae Jo young nimeifuatilia yote ikiwa na subtittle kutoka huko.
Wapendanao wakigombana ukae mbaliπNikabaki kuangalia waoendanao wakirekebishana π
Alafu ni pisi balaaπππnyie nitafika mbinguni nimechokaπAnabalaa yule, anakabia juu sana π
Selfikaπ€£Kuna uzi nilimkimbia, hayuko serious ila hilo balaa lake zito π
Ewaaah! Vile sipendi kelele nikala kona πSelfikaπ€£
duh sasa ume kuwa ugomviππAkikaa vibaya nambana mbupu dadeqqq π€£
Duh dr mwanetu ujue, halafu serious nili fanya troll ππSema mkubwa wetu mjanja sana amekwepa mawe ya wengi kwa kumshambulia Dr wa watu π
Ila wewe hukumuacha salama π
Kamuita dr manyau nyauππSema kajikaza kutetea hoja yake ati aliamua kwenda kinyume na uzi
Binafsi ningekuwa yeye ningekaza hapo hapo manake katag watu wengi
Alipaswa akimbie uzi mapema tu πKamuita dr manyau nyauππ
speed 360 ,ππAlipaswa akimbie uzi mapema tu π
Hakuna kuangalia nyuma πspeed 360 ,ππ
Kama upepo wa kisuli suli ππHakuna kuangalia nyuma π
Mbele mbele yao πKama upepo wa kisuli suli ππ