Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Intel msaliti, hii nzuri.Mwanangu Selikavu ,kosi letu rasmi litaitwa Alpha Team (Team Gunman) kosi la ushindi kama la 'Descendants of the Sun' .
Mimi ndie Big boss Captain Joo si Jin (Song Joon Ki ) , wewe yule mwamba mkali aliyeng'oa pisi mtoto wa Kamanda , wanaobaki ndio wengine katika Alpha Team . Bill the Don Intelligent businessman ni yule jamaa msaliti American aliyeanzisha genge la madawa ya kulevya (Ghayos Gang).View attachment 3425134
H hahahahah!!Intel msaliti, hii nzuri.
Busu la Kenge njoo uishughulikie hii mbusi, nyau de adrizH hahahahah!!
Intelligent businessman ndio Argus Msaliti kwenye ile series...
Kipindi hiko tukiwa pamoja wasoja vitaniView attachment 3425178
Sasa Kawa jeuri baada ya kuForm alliance na vingenge vya wahuni.View attachment 3425180
Dah ππIntel msaliti, hii nzuri.
Maarass!!! He shouldn't try to do anything nonsensical , the moment he initiates any move against me will face a bitter consequences brutallyBusu la Kenge njoo uishughulikie hii mbusi, nyau de adriz
Nyau de uuumbwaz maarass mitayo nyangwisi NYAMBULET nyabumbumbu umbwaaH hahahahah!!
Intelligent businessman ndio Argus Msaliti kwenye ile series...
Kipindi hiko tukiwa pamoja wasoja vitaniView attachment 3425178
Sasa Kawa jeuri baada ya kuForm alliance na vingenge vya wahuni.View attachment 3425180
HahahaMaarass!!! He shouldn't try to do anything nonsensical , the moment he initiates any move against me will face a bitter consequences brutally
View attachment 3425181
Siku hizi wana muita nyau de adrizNyau de uuumbwaz maarass mitayo nyangwisi NYAMBULET nyabumbumbu umbwaa
Zitafute Joseon Gunman, Again my life na Flower of evil, huyo mwamba namuelewa sana hana show mbovu.Nimeimaliza Lawless lawyer, ni kiukweli. Hivi lile limwamba, Choi min so ( Mayer wa Ki seong ) lipo ka limelewa au limesizi muda wote nakumbuka kwenye Royal Gumbler lilikuwa mfalme Sukjong, The Legend,Faith, Warrior Baek dong su, Golden Cross,Blade and Petal. Limenogesha kazi hii ya Lawless lawyer.
Mwamba huyu Lee joon gi ( a.k.a Bishoo wa Seul kama alivyobatizwa na DAEMUSIN) sijawahi kuona kazi mbovu toka kwake. Mpk sasa kazi zake ambazo nimepitanazo ni
Iljimae, Time btn dog and wolf,
Two weeks, Athdal Chronicles
Lawless lawyer, Moon lovers
Tale of Arang.
Nimeianza Mirror of the Witch ni kama vile inanishinda japo bado episode
Any recommendations wakuu
Joseon Gunman tayari hiyo kaka, nitaitafuta flower of evilZitafute Joseon Gunman, Again my life na Flower of evil, huyo mwamba namuelewa sana hana show mbovu.
Hizi drama zingine zinazunguka tu lakini lengo lake ni LGBTQ.Wakorea wanatuonaje
Nimeanza kuangalia drama inaitwa my girlfriend is the man ati bidada kalala usiku asubuhi kaamka mwanaume π
Niligoogle hayo yote kabla sijadownload,naamini hamna hizo mamboHizi drama zingine zinazunguka tu lakini lengo lake ni LGBTQ.
Nimeisoma kiasi pia, nachomaanisha nikwamba boyfriend wake anatakiwa aikubali hiyo hali(maana imefichwa hapo)Niligoogle hayo yote kabla sijadownload,naamini hamna hizo mambo
Nimeisoma kiasi pia, nachomaanisha nikwamba boyfriend wake anatakiwa aikubali hiyo hali(maana imefichwa hapo)
Komaa nayo tu ila ujue lengo lake ni hilo πNaiangalia hapa episode ya kwanza boyfriend kashaanza kumuona girlfriend(ambaye amebadilika kuwa wa kiume) handsome π
Kashaanza kumtamani π
Sijui nitemane nayo
Ngoja nikaichungulie.Hunter with a scalpel π