Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Jamaa alifanya kazi nzuri sana kuigiza mapacha kuliko hata lee jun kiAnapiga kazi chafu kwenye hisia yupo vizuri , kwenye usiriaz , uchangamfu nk halafu muonekano unambeba , Hana tu Martial skills kwenye mkono hawezi kabisa ana bahatisha na kupigana kivivu.
Mara ya kwanza nilimuona kwenye Arthdal Chronicles 1 nikadhani underground kumbe mkongwe
Ndoa za mastaaa nazo huwa pasua kichwa tuu😃😃Mwamba alizingua , hakutaka kuvunga ila ndio hivyo ukiwa superstar lazima ulizwe kwa nini mmeachana sasa Mwamba kajisafisha yeye huku roba la misumari kamuachia manzi .
Manzi series yake ya kwanza baada ya sakata la ndoa ilivynja rekodi viewers wengi na alapata na tuzo , support kwa manzi imeongezeka .
Ilihuzunisha tukio la uzinduzi wa series mwandishi wa habari alimuuliza kuhusu ndoa yao akasema "kwa Nini mmeachana mapema wakati mlikuwa mnaoneka ni watu Wenye furaha na couple nzuri na vipi kuhusu tuhuma za kwamba wewe ndio chanzo" Manzi akashindwa kuendelea na press akawa analia tu akashindwa kujibu akaondoka akarudi baadae na kumoumba radhi mwandishi wa habari na kusema sakata la ndoa limemfanya asiwe sawa Kisaikolojia muda mwingi alikuwa na stress na akikumbuka yalitokea anashindwa kujizuia.
Mzoefu kabisa😃ila ndo hivyo ndoa imemuharibia basiAnapiga kazi chafu kwenye hisia yupo vizuri , kwenye usiriaz , uchangamfu nk halafu muonekano unambeba , Hana tu Martial skills kwenye mkono hawezi kabisa ana bahatisha na kupigana kivivu.
Mara ya kwanza nilimuona kwenye Arthdal Chronicles 1 nikadhani underground kumbe mkongwe
Nipo naangali queen of seven day i think mzuri
Ina umiza sana napenda kama hizi una ijua nyingine yenye painNi nzuri
Ina umiza sana napenda kama hizi una ijua nyingine yenye pain
ThanksThe Kings Loves
100 days my prince
Imekuwaje hata ikafungwa?Jamani ile channel yetu ya kibongo imefungiwa kule Telegram siwezi kuweka chochote, nafikiria cha kufanya.
Imeniumiza sana, mimi na mdogo wangu hapa (kila siku anabadili ID sijui anajiita nani sasa hivi) tumeweka drama nyingi sana kule.
Telegram walinitumia ujumbe kwamba Channel imeripotiwa na Multichoice SA, nikawatumia email hao jamaa hawakujibu.Imekuwaje hata ikafungwa?
jeuri ya kubadilisha mijihela na magari kama dully kizimkazi sina, basi hata username za JF wanted pia nishindwe.
Missing crown prince ushaicheki, hii ina sikitisha, kuna muda unaanza kuwa upande wa ma villainThe Kings Loves
100 days my prince
Missing crown prince ushaicheki, hii ina sikitisha, kuna muda unaanza kuwa upande wa ma villain
Jamaa anaonekana hivyo , vipi kuhusu dishi kucheza maana Kuna jamaa mmoja kijiweni alinipanga eti mwamba zile sio maigizo sometimes kama zinaruka kweli.Hivi mna jua jang Hyuk kwenye maisha halisi ni mpiga ngumi kama kina don yen!
we kenge nilikuwa na aunt yako mida Ile, hahaha hamna kitu ka hicho jang Hyuk yuko fresh.Jamaa anaonekana hivyo , vipi kuhusu dishi kucheza maana Kuna jamaa mmoja kijiweni alinipanga eti mwamba zile sio maigizo sometimes kama zinaruka kweli.
Mimi nilianza kuicheki Arthdal 2 Lee jong Ki nikaona Kali kinyama nikatonywa Kuna one yake nilivyoicheki nikamkubali mwamba wa season 1 Song Joon Ki , naona yeye katisha zaidi kupatia kwenye role za mapacha .Jamaa alifanya kazi nzuri sana kuigiza mapacha kuliko hata lee jun ki
Tokea asubuhi nilikuwa sipo online jioni nimeshika simu Jf haifunguki sio kwa app Wala browser, nikaona niwatafute Wadau wanipe Alternatives wewe ndio ukayumba nikamcheki Selikavu mnyama akajipa mbinu ya VPN bila hivyo ningekaa kijinga kama Maghayo The Mongolian Savage.we kenge nilikuwa na aunt yako mida Ile, hahaha hamna kitu ka hicho jang Hyuk yuko fresh.
Muda una nicheki nilikuwa niko nime banana, ila sio mbaya if problem is solvedTokea asubuhi nilikuwa sipo online jioni nimeshika simu Jf haifunguki sio kwa app Wala browser, nikaona niwatafute Wadau wanipe Alternatives wewe ndio ukayumba nikamcheki Selikavu mnyama akajipa mbinu ya VPN bila hivyo ningekaa kijinga kama Maghayo The Mongolian Savage.
Nilikuwa sijui kama na VPN unaweza kuAcces nilijua nitakaa bechi miezi yote ila sasa nakimbiza kwa nipo Italy now.
Nipo Tokyo kaka😂😂😂ni kuhama tu Ip leo😃😃Tokea asubuhi nilikuwa sipo online jioni nimeshika simu Jf haifunguki sio kwa app Wala browser, nikaona niwatafute Wadau wanipe Alternatives wewe ndio ukayumba nikamcheki Selikavu mnyama akajipa mbinu ya VPN bila hivyo ningekaa kijinga kama Maghayo The Mongolian Savage.
Nilikuwa sijui kama na VPN unaweza kuAcces nilijua nitakaa bechi miezi yote ila sasa nakimbiza kwa nipo Italy now.