Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Eti anataka kumaanisha βSingle and ready to mingleβ πAah kaka upo single tangu liniππ
Chama kipo strong kabisa πππharakati zetu huwa ni za msimuππRais kaua chama cha Majobeless sioni harakati zozote za maana na maendeleo , Bora mngebaki na Muimba SINGELI tu maana ana future Majobeless mngefika mbali.
Jobless ni katika movement iliyofeli mapema sana Jf humu imezidiwa na Makapuku , Chaputa , Kataa ndoa , No Fap hata Uwabata.
Cc : Razor atamfunga Negan lin
Huyo achana nae mkuu atakuumiza kichwa bure, ameshaanza kufuata nyayo za ma tamu wake πππMkuu Razor atamfunga Negan lin umebadili jina ππ
ππChama kipo strong kabisa πππharakati zetu huwa ni za msimuππ
Aisee ndio nimeona Leo mwanangu kachenji jina πππHuyo achana nae mkuu atakuumiza kichwa bure, ameshaanza kufuata nyayo za ma tamu wake πππ
Hapa kati tulikuwa tunaweka sawa maswala ya partners kwanza maana chama kinahitaji warithi idara zote πππChama kipo strong kabisa πππharakati zetu huwa ni za msimuππ
Haichoshi hiyo mkuu kula maisha.Nipo nairudia Jumong
Yupo penzini huyo taratibu athari za penzi na shemeji yetu a.k.a ma tamu wa SK cocastic zinaonekana πAisee ndio nimeona Leo mwanangu kachenji jina πππ
Nipo namtania Noob pro max Razorblade π€£π€£Mkuu Razor atamfunga Negan lin umebadili jina ππ
Jitaid umfunge Negan mkuuπ€£π€£π€£game 250 win 0 kwel π€£π€£π€£π€£Huyo achana nae mkuu atakuumiza kichwa bure, ameshaanza kufuata nyayo za ma tamu wake πππ
Kaka niliona saiv ndo muda wa kufanya ujinga watu hawapoπ€£π€£ila soon nalud kwenye jina languπ€£π€£π€£Aisee ndio nimeona Leo mwanangu kachenji jina πππ
Kumbee πππYupo penzini huyo taratibu athari za penzi na shemeji yetu a.k.a ma tamu wa SK cocastic zinaonekana π
πππππ Pamoja sana kakaKaka niliona saiv ndo muda wa kufanya ujinga watu hawapoπ€£π€£ila soon nalud kwenye jina languπ€£π€£π€£
Shemeji amejua kumkoleza ndugu yangu, jana namwambia tukaangalie Simba Day kakataa akasingizia anaumwa kumbe anataka kuongea na ma tamu wake πKumbee πππ
Ubaya ubwela πMwanangu wa kunisagia kunguni π€£π€£
ππππShemeji amejua kumkoleza ndugu yangu, jana namwambia tukaangalie Simba Day kakataa akasingizia anaumwa kumbe anataka kuongea na ma tamu wake π
cocastic
Hahahahah!! I find this amusing.. na vya KamasutraKwel kabisa kusoma vitabuπππView attachment 3469403