Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
πKamasutra
Niko single kaka, mapenzi si kipaumbele changu.Aah kaka upo single tangu liniππ
FalaKwel kabisa kusoma vitabuπππView attachment 3469403
si mtanilinda ndugu zangu?, siogopi chochote I'm single π¦Eti anataka kumaanisha βSingle and ready to mingleβ π
Comrade akija atakichafua humu kijana anahatarisha usalama wake πππ
Aah! Sisi hatuhusiki kwenye vita ya mapenzi, mkielewana huko mje kutuona siye hatufai πsi mtanilinda ndugu zangu?, siogopi chochote I'm single π¦
Numbisa ni shahidi I'm single π¦Aah! Sisi hatuhusiki kwenye vita ya mapenzi, mkielewana huko mje kutuona siye hatufai π
Mimi mwenyewe nairudia nipo Ep 32Nipo nairudia Jumong
Yani mkuu haichoshi kabisa yanMimi mwenyewe nairudia nipo Ep 32
Kama unasoma Kitabu, waigizaji wako verry talented matukio yamepangiliwa vyema na mazungumzo Yao yamepangiliwa vizuri .Yani mkuu haichoshi kabisa yan
Niliirudia Jumong baada ya hapo nikairudia na The land of wind, sikuimaliza mambo yakawa mengi.Mimi mwenyewe nairudia nipo Ep 32
Ngoja aje πMpambanie mwana mpaka akatoe ushuhuda kwa Riki boi π
Jana nilikuwa napitia history yake nikakuta mkanganyiko kuhusu uzao wa Onjo.Kama unasoma Kitabu, waigizaji wako verry talented matukio yamepangiliwa vyema na mazungumzo Yao yamepangiliwa vizuri .
Ile kama shule Kuna madini ya maana , Mimi nimeirudia hii mara ya 3 naona kama mpya.
πππππ ila Shem? Sasa hujui SK ameoa? Hatakiwi kutoka hovyo bila coca kuruhusu.Shemeji amejua kumkoleza ndugu yangu, jana namwambia tukaangalie Simba Day kakataa akasingizia anaumwa kumbe anataka kuongea na ma tamu wake π
cocastic
Mama skπππππ ila Shem? Sasa hujui SK ameoa? Hatakiwi kutoka hovyo bila coca kuruhusu.
Simba Day inafanyika mara 1 tu kwa mwaka shem ila wewe upo kila siku, ndugu yangu kazingua ππππππ ila Shem? Sasa hujui SK ameoa? Hatakiwi kutoka hovyo bila coca kuruhusu.
Sema tuu ulimpata Tayana-wog kakaπππmambo mengi ndo kiswahili ganπ€£Niliirudia Jumonga baada ya hapo nikairudia na The land of wind, sikuimaliza mambo yakawa mengi.
Mwanangu unakabia juu mnoπππ aina noma sisi pipoππSimba Day inafanyika mara 1 tu kwa mwaka shem ila wewe upo kila siku, ndugu yangu kazingua π
Tatizo ni mgeni wa haya mambo haya endelea kummeng'enyua πππ
Razor atamfunga Negan lin