Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

I still repeat

apart from Baby Doll no one will ever become a queen, unless I say so.
mpaka ujiboost! Na mitangawizi, sijui mi asali!! Utawaweza wengine janja?? ni haki yako! hahaha.

Mndewa halisi!! Lazima uwe na makoloni kadhaa hutakiwi uteswe na mapenzi kama unavyo lilia.

Ndiomana majanja wa sikuhizi mkipigwa matukio kidogo tu mnakimbilia kuwazuru mademu zenu.
 
oya nime cheka kishenzi, kweli we pipa maji huelewi mada una vamia Kama chokoraa kwenye harusi ya wanajeshi lazina upasuke.
 
.

Mndewa halisi!! Lazima uwe na makoloni kadhaa hutakiwi uteswe na mapenzi kama unavyo lilia.

Ndiomana majanja wa sikuhizi mkipigwa matukio kidogo tu mnakimbilia kuwazuru mademu zenu.
Janja since pambano langu la kwanza sija wahi kufeli, ila we pambano lako la kwanza ni zaidi ya mushkeli.

Maana una mikogo mingi kama wale wahindi kina Patel, halafu siku ya pambano demu wako ana lalamika Kapachino why unafeli.
 
nikiwa kama TAEJO, niendelee kufuatilia hii vita ya kuwania taji la Malkia bila ya kuchagua upande.
Nimepumzika kweli kweli

Mnanikumbusha visanga vya tamthilia ya DONG YI pamoja na hadithi tofauti za Bang Won (Taejong).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…