Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mfalme wewe au ni mimi?, bwana mdogo, nadhani una zijua akili za mjomba wangu lee bang won sasa jichanganyeUnae malkia wako na sisi tunae malkia wetu, Joanah ataendelea kubakia ndani ya kasri na kutambulika kama malkia wa dola.
Neno lako ni amri, neno lake ni amri.
Asubuhi ya leo nime amka mchovu Sana, piga mazoezi, kunywa supu ya samaki, sharubati ya nanasi lakini wapi.
Macho mazito, nika ona yanini kuji chosha, wacha nika kodi chumba hotelini nioge angalau.
Nime simama kwenye shower zaidi ya nusu saa, lakini wapi bado mwili ume goma.
NIme amua kuanza mapumziko Leo, niko chumba cha juu nime tulia zangu.
hapa niko na paka wangu, ka upepo mwanana.
#the king is inactive today
Kunakoelekea utakuwa mfalme ukiwa kwenye chumba cha Baby Doll tu πMfalme wewe au ni mimi?, bwana mdogo, nadhani una zijua akili za mjomba wangu lee bang won sasa jichanganye
Sasa chumba cha 45 nacho ni chumba rafiki, beside naenda hospital bado nasikia usingizi aisee.π³π³π³π³ Hii JF nzima kapuku mie tu. Yaani uchovu kidogo ushaenda kuoga hotelini na bado paka nae kapata upepo mwanana ghorofoni
Ngoja nilale kaka, maana huu usingizi nime kuwa ka sija wahi kulala toka nizaliweKunakoelekea utakuwa mfalme ukiwa kwenye chumba cha Baby Doll tu π
Uhakika.Ngoja nilale kaka, maana huu usingizi nime kuwa ka sija wahi kulala toka nizaliwe
Kaka nahisi nime kuwa teja aisee, ndio naamka hapa ila bado usingizi upoUhakika.
Kwa mimi mpenda kulala nakupa hongera maana ni neema hiyo πKaka nahisi nime kuwa teja aisee, ndio naamka hapa ila bado usingizi upo
Ni hotel gani hiyo chumba ni 45?Sasa chumba cha 45 nacho ni chumba rafiki, beside naenda hospital bado nasikia usingizi aisee.
Chief General , nilipotea katika nchi nilikuwa nafanya contemplation kuhusiana na mambo kadhaa ya kitaifa Leo nimerudi nimekuta Chaos and violence inside the Kingdom ππJanja janja zako za ule Uzi wenu wa kimasihara unataka uziamishie kwa Binti wa watu!!
Usione vyaelea utakuja upasuke dogo!!
ewaa, the general muhyulMimi kama Chief General na Mkuu wa usalama wa nchi , naunga mkono juhudi za Mfalme na Malkia wake mpya.
Kwa sasa nahamishia nguvu katika ulinzi na usalama wa nchi haswa kupambana dhidi ya Mabandits wa mipakana wanaovuka kuvamia Wananchi na kuvuruga hali ya utulivu na usalama.
Kaka usi ombe yakukuteKwa mimi mpenda kulala nakupa hongera maana ni neema hiyo π
Oya umetishiwa bakuli? πMimi kama Chief General na Mkuu wa usalama wa nchi , naunga mkono juhudi za Mfalme na Malkia wake mpya.
Kwa sasa nahamishia nguvu katika ulinzi na usalama wa nchi haswa kupambana dhidi ya Mabandits wa mipakana wanaovuka kuvamia Wananchi na kuvuruga hali ya utulivu na usalama.
Mkuu mimi hata katika maisha yangu ya elimu sikuwa napenda kukaa mbele kwasababu muda wowote nalala.Kaka usi ombe yakukute
akili zime kuja, bado wewe na Razor atamfunga Negan linOya umetishiwa bakuli? π
Shida sio kulala, shida kulala muda woteMkuu mimi hata katika maisha yangu ya elimu sikuwa napenda kukaa mbele kwasababu muda wowote nalala.