Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Naomba list za pori mbili Kali nikazichukue kipaumbele Changu ni stori zenye taste kama , Joseon Gun man, Jumong , Emperor of the sea , King Gwangaeto, Deep rooted tree na nyinginezo.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Familia mbona umetema ndoano mapemaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ


Sasa hii vita ngoja niingie mzima mzima sasa panga litembe
 
Muhyul si ndo wa kwenye kingdom of the Wind
 
Mwanangu me nitalipa Tayana si yupo ana VPN πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Jamaniiiii!! Em nitafute korani na mtoto aliyesoma juzuu, anifafanulie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muhyul si ndo wa kwenye kingdom of the Wind
Ndio , yule ambaye Baba yake Mfalme Yuri alimtelekeza akapewa jina la Muhyul ambalo kwa maana nyingine inamaanisha "without blood" Mzee Yuri alimaanisha kuwa hana mtoto yani jamaa kashakufa na kumtupa.

Moohyhul mwingine ni mtu kazi yule wa Kwenye Six flying dragon anayepiga panga kichizi .
 
Jamaniiiii!! Em nitafute korani na mtoto aliyesoma juzuu, anifafanulie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shem ndugu yangu alinizimia Wi-Fi baada ya kufikisha ujumbe, ajabu iliyoje ameniagiza mwenyewe πŸ˜‚

Maana: β€œMoyo wako ni wangu na wangu ni wako, roho yako ni yangu na yangu ni yako, mimi na wewe ni roho na mwili mmoja”

Khalas πŸ˜‚
 
Ba tamu huyu wa efootball? Au acc yake imeswing, maana anavyokua buzzy,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimefurahi ujumbe mzurii chanaaa. 😘😘
 
Ba tamu huyu wa efootball? Au acc yake imeswing, maana anavyokua buzzy,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimefurahi ujumbe mzurii chanaaa. 😘😘
Huyo huyo usingizi wako. Au kuna ba tamu mwingine? πŸ˜‚

Hivi unaona WhatsApp Status zake? Siku hizi anatukera tu na dedication songs, punguza kasi shem utatuulia ndugu yetu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naomba list za pori mbili Kali nikazichukue kipaumbele Changu ni stori zenye taste kama , Joseon Gun man, Jumong , Emperor of the sea , King Gwangaeto, Deep rooted tree na nyinginezo.
😁 Mtoto akililia wembe mpe

BoomπŸ’₯
EMPEROR WANG GUN Episodes 200
Story ni the best, inaelezea jinsi Goryeo ilivyoanzishwa. Utakutana na malaika aliyegeuka kuwa shetani( General/Monk Gung Ye), Huyu mwamba ndio founder wa Goryeo, na alikuwa ni descendant wa Jang Bogo kutoka Silla.
General Wang gun mwenyewe Kutoka familia ya wafanya biashara.
Halafu ni limwqmba linaitwa General Gyeonon hili jitu Linataka kuirejesha Bakjae. VITA YA HIZO NJEMBA NI πŸ”₯
Unakumbuka battle ya military tacticians Ha muji na Murong un/ Ko un kwenye Gwanggaeto the Great?
Sasa baadaye saana utakutana vita ya wasomi hawa military advisors, Choi Uing Vs Choi ? ni πŸ”₯

AGE OF WARRIORS Episodes 138
Humu ndani vita ni kama mvua za masika.(Daemusin, aliwahi kuniambia humu ndani hakuna mrembo wakiume/ handsome, wote ni sura ngumu na za kazi) ni kweli
Hii inaelezea mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika miaka ya 1100 na utawala wa wababe hawa ulidumu kwa karne nzima. Wajinga walikuwa wanatawala dhidi ya mfalme. Kama umewahi kuiona SOLDIER/ MILITARY OFFICIAL/ GOD OF WAR utakuwa unanielewa maana inafainalise kipqnde cha story kilichoachwa kwenye AGE OF WARRIORS

Jitoe sadaka kwa ajili ya safari hii kutoka Tokyo, Nagoya to Osaka. Bila Bullet train or Maglev train( Km 603/h) itakuchukua muda.
 
Kuna series moja inaitwa "The atypical Family" ni nzuri sana, ila inachanganya kama hutakuwa makini unaweza ukangalia usielewe, ipo kama Movie ya tenet. Itafute kama unapenda series za hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…