Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwenye hiyo list hakikisha huisahau Tempest.
 
Kwanza ni lini tumekukubali kama mfalme!!? Umejipachika tu tayari ushaanza kuvuta malkia unaowataka. Na uliowapa uwaziri nao hawatapinga maana wanaulaji huku wakishangaa walivyoupata huo uwaziri🤣🤣🤣
 
Kwanza ni lini tumekukubali kama mfalme!!? Umejipachika tu tayari ushaanza kuvuta malkia unaowataka. Na uliowapa uwaziri nao hawatapinga maana wanaulaji huku wakishangaa walivyoupata huo uwaziri🤣🤣🤣
Cheo hiki nili kabidhiwa na Sangwang D A E M U S H I N, au una taka uwe waziri wa cinema 😆
 
Hii itapendeza kwa maana itaondoa sintofahamu katika dola, naungana na wewe kwenye hili kwa ustawi wa dola.

Muhimu: Tafuta mwanamke aliyetulia ambaye hajui kuhusu cheo chako mpachike mimba, kwa hali yoyote mwana mfalme anahitajika.

Khalas
😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…