Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii itapendeza kwa maana itaondoa sintofahamu katika dola, naungana na wewe kwenye hili kwa ustawi wa dola.

Muhimu: Tafuta mwanamke aliyetulia ambaye hajui kuhusu cheo chako mpachike mimba, kwa hali yoyote mwana mfalme anahitajika.

Khalas
😂
acha niwe kama lee min ho Kwenye the king monarch😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…