Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ji chang wook ana rejea November 5, na chuma kina itwa manipulated.(Disney).

Mwanaume ana fungwa jela kwa kosa lisilo lake, baadae ana gundua njama hivyo ni mwendo wa kulipiza kisasi.
(Ime kaa kama innocent defendant).

Vyuma vya jichang wook.
.k2, fabricated city, empress ki, healer, warrior baek dong so, five fingers, worst of evil.

 
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe kaka unaamka na mchuchu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…