Razor atamfunga Negan lin amesema anapiga kichwani na bado unapumua, nimeangalia vizuri kichwani nimeona kuna helmet π
Mie nimeamua kupiga kifuani na chembe ili ufe taratibu ila kwa maumivu makali ππ
Khalas π
Jamani mbona nisha mrudia malkia wenu, it was a mistake okππ€£Razor atamfunga Negan lin amesema anapiga kichwani na bado unapumua, nimeangalia vizuri kichwani nimeona kuna helmet π
Mie nimeamua kupiga kifuani na chembe ili ufe taratibu ila kwa maumivu makali ππ
Khalas π
My Queen ulinipa kazi na mimi ni mtu wa kazi na siwezi kuacha kazi na wakati sina kazi πHizi akili sio kweli,kuna kitu unatumia πππ
Mapigo yako pending, ukizingua tunakuzingua πJamani mbona nisha mrudia malkia wenu, it was a mistake okππ€£
Shenzii hii sasa bangi π πMy Queen ulinipa kazi na mimi ni mtu wa kazi na siwezi kuacha kazi na wakati sina kazi π
Khalas π
Nifafanulie Kuna mchezo gani umechezwa siufahamu au Kuna code imenipita ?Hapo adriz kapigwa jiwe wazi wazi nisha ku elaborateπ
Khalas πShenzii hii sasa bangi π π
Kijana nani ? kama kijana The Don inabidi abadili misimamo yake maana hawatoi mke kizembe mpaka wawe na uhakika kama ni mwenzao au vipi ?Wazenji watamuua Kijana π
Hio code umepigaje ? πππAaah umeshinda kungamuaπ
Uke wenza utauweza kwel kama hufanyi surveillance π€£
Hahahahaha!! Mimi nimejitolea maisha yangu katika kazi ya UGeneral kiasi ambacho sijawa na muda wa kufocous na mengine.adriz ana wapenda wavaa mashuka wenzie, huja elewa kisiwa cha blue kilipo?
Hebu ishughulikie hii panya Razorblade, maana ina kelele na code za kichawiπNifafanulie Kuna mchezo gani umechezwa siufahamu au Kuna code imenipita ?
Nime furahi kuona uli simama na mfalme wako, hawa kenge wengine wali zira hata kumsalimia princess fulaniπ¦Hahahahaha!! Mimi nimejitolea maisha yangu katika kazi ya UGeneral kiasi ambacho sijawa na muda wa kufocous na mengine.
Familia yangu na Kipenzi Changu ni panga tu na uwanja wa mapambano , sasa nashangaa kuingizwa kwenye mambo mengine yasiyohusu usalama na vita ambayo sijihusishi nayo.
Una zungumziwa wewe hapo, washenzi hao π€£Kijana nani ? kama kijana The Don inabidi abadili misimamo yake maana hawatoi mke kizembe mpaka wawe na uhakika kama ni mwenzao au vipi ?
Haupo pekee yako TEMPEST imetuteka wengiSijui huko mbeleni, lakini mpaka hapa nilipoishia. Nadhani tangu VAGABOND sijaona drama ya mjini( Triller) kali kama hii( TEMPEST). Nimependa inaelezea Geopolitics
Hizo kazi zingine nimeziweka pending kwanza niende na TEMPEST
Sijui ni Won ngapi zimetumika kuandaa hii kazi. Nimeipenda.Haupo pekee yako TEMPEST imetuteka wengi
Kabisa mkuu Mimi sizipendi zile zenye u comedy huwa wanafanya kosa kubwa actors ambao ni serious kuwafanya wawe na uchizi fulani na ndio maana drama zao zenye maudhui ya comedy huwa siangaliiSijui ni Won ngapi zimetumika kuandaa hii kazi. Nimeipenda.
Halafu unawezakuta kazi kama hizi kule kwao zikakosa attention.
Dah! πHebu ishughulikie hii panya Razorblade, maana ina kelele na code za kichawiπ
Razor atamfunga Negan lin naona bado kuna oxygen anapata huyu, kinachofata tupige roba ya mbao kama watoto wa keko πππNime furahi kuona uli simama na mfalme wako, hawa kenge wengine wali zira hata kumsalimia princess fulaniπ¦
Perhaps wanaweka na kupenda comedy LABDA kwa sababu maalum. Korea( ROK),Japan, Taiwan, HK, China, Singapore ni most depressed Countries duniani. Kiwango cha kujiua( Suicide rate)kwenye hizo Nchi kipo juu kupita kawaida. Ila wakorea wamezidi kwa msongo aisee. Ile Nchi hata wewe ukikulia huko lazima uonje joto la jiwe. Anyway labda ndio maana wanapenda comedy.Kabisa mkuu Mimi sizipendi zile zenye u comedy huwa wanafanya kosa kubwa actors ambao ni serious kuwafanya wawe na uchizi fulani na ndio maana drama zao zenye maudhui ya comedy huwa siangalii
Issue sio wasiweke maudhui ya comedy me ninachopinga ni Kuna characters ambao hawana ile talent ya uchekeshaji kabisa hata ukiwaangalia lakini madirectors wanawaforce wawe comedians mfano mzuri yule starring aliyecheza drama ya The Veil na humu alikuwa very serious na kacheza vizuri Kuna drama nimeona Kawekwa kwenye maudhui ya comedy unaona kabisa hiyo nafasi haimpendezi kwanini wasiweke characters wenye talent ya uchekeshaji kwenye drama zao zenye genre ya comedy kuliko hichi wanachofanyaPerhaps wanaweka na kupenda comedy LABDA kwa sababu maalum. Korea( ROK),Japan, Taiwan, HK, China, Singapore ni most depressed Countries duniani. Kiwango cha kujiua( Suicide rate)kwenye hizo Nchi kipo juu kupita kawaida. Ila wakorea wamezidi kwa msongo aisee. Ile Nchi hata wewe ukikulia huko lazima uonje joto la jiwe. Anyway labda ndio maana wanapenda comedy.
Above all TEMPEST imekaa kiume aisee