Ndiyo, hiyo ni moja ya sababu.
PATA HII KWANZA THEN TUTAENDA MOJA KWA MOJA KWENYE SWALI LAKO.
South Korea( ROK) ni moja ya Nchi, kiuchumi zinaitwa MIRACLE ECONOMY au THE FOUR DRAGONS/ASIAN TIGERS Nchi hizo ni Hong Kong,Taiwan, S.Korea & Singapore kimkakati ziliwezakujinasua kutoka kwenye umasikini( underdeveloped) to the developed countries ndani ya miaka 40. Nikuchekeshe Kidogo, Miaka ya 1950s to 60s Tanzania tulikuwa vizuri kuliko wao. Idadi ya watu wasiokuwa na elimu( illiterates) tulikuwa tunalingana nao, walikuwa wanapokea misaada kama sisi ANYWAY tuyaache ya Jamuhuri ya Mama, Turudi. Kwa ufupi sana, hawa Asian Tigers waliendelea mapema(They developed earlier than China).
Korea,Taiwan & HK wao walitianguvu na kujikita kwenye kuboresha elimu, pamoja na viwanda( Industrialisation) wakifocus kweye Heavy Industry, Consumer electronics, na Semiconductors.
Singapore wao elimu na sera za elimu, wawekezaji kutoka nje lengo kuu walitaka iwe kituo kikuu cha biashara duniani( Global financial centre) ili mabilionea waje kuishi na kuwekeza .
Hadi kufikia 1990 Wote ( 4 dragons)Walifanikiwa Kuwa developed countries. Kitu cha kushangaza korea(ROK)ndio Taifa la kwanza LIlilotoka kuwa mpokea misaada mpk mtoa misaada.
Mataifa ya magharibi, pamoja na Japan walijenga uchumi wao taratibu kwa kutumia rasilimali ( Natural& human resources) kutoka kwenye makoloni yao. Tofauti na hawa 4 Tigers ndio mataifa yaliyoendelea( in 20th C) kwa kutumia rasilimali zake. Kufanikisha hiyo speed ya Maendeleo watu walifanya kazi kwa bidii kubwa.
TURUDI KWENYE SWALI LA MSIGI
1 UONGOZI MBOVU; mpk sasa Korea ina marais 14 kati ya hao wote Moon Jae In Rais wa 12 pekee ndio aliyestaafu salama ila wengine wote baada ya uongozi wao walishakiwa matumizi mabaya ya madaraka, rushwa n.k hatima ilikuwa ni Kunyongwa, kifungo cha maisha au cha kawaida. Maraisi wengine wengi walipinduliwa. Kuna mjinga aliingia marakani 2022 mwaka jana alijichanga kutamka ati korea itaongizwa kwa sheria za kijeshi alitupwa nje mwaka huohuo.
2. GHARAMA ZA REAL ESTATE: fikiria kama unataka nyumba ya kawaida( sio ya kifahari) yenye vyumba vya kulala viwili mpk vitatu inabidi uandae kuanzia dolla million 2 mpk 4M (😁 kiasi hiki cha pesa unaweza kununulia Bugatti Chiron Supersport). Licha ya kuwepo Flat/ apartment nyingi lakn bado ziko wazi na watu wengi hawezi kuzimudu, wengi wanaishi nyumbani kwao, unakuta mtu ana kazi lkn anaishi kwao anafanya kazi anakusanya pesa ili akanunue apartment .
Kwenye utamaduni wa Korea ni jukumu la mwanaume kutafuta Apartment/ Flat, while mwanamke ni jukumu lake kununua vitu vya ndani ndio maana wanachelewa kuoana.
3.MADENI: Wakorea wengi wanakabiriwa na madeni na madeni makubwa ikiwa pamoja na madeni kwa ajili apartment, nyumbani unaweza kuruhusiwa kukaa kama kuna nafasi ila muweke akilini kuna lzm mtakua chini ya sheria za wazazi.
Licha ya juhudi za serikali lkn bado ni mwiba. Gharama za elimu ziko juu, mzazi anaamua ku- give up ndoto zake anaamua kutia kilakitu ili watoto wasome ili wapate kazi nzuri, ili na wao wapate matunda kutoka kwa watoto. Ndio maana wazazi wanawaingilia sana maamuzi wa watoto wao hasa linapokuja suala la ndoa, maana wametoa maisha yao hadi hapo walipo.
KUFANYA KAZI KUPITILIZA: Licha ya kuwa watu wa Asia hasa Asia ya mashariki ni wachapa kazi, lakini kule wastan wa masaa ya kazi ni 16 mpk 18. Mtu anarudi nyumbani mida mibovu yuko hoi na wakati huo asubuhi na mapema anatakiwa kurudi kazini. Muda wa kupumzika hakuna.
USHINDANI: Social pressure iko juu kipita kawaida, mitandaoni, maofisini. mziki unaanzia shule, ushindani wa shuleni ni hatari hauna afya hata kidogo, na hii inamhuaribu mtu kiakili tangu akiwa mtoto mpk anakua nayo, fikiria mtoto wako anazomewa na wenzie akifanya vibaya kila akipita na hii iko mpk vyuoni unakuta mtu kagonga 89 lkn analia ati kafeli. Hapo bado hujaingia kazini ambako usindani unaendelea kila unachofanya lazima utalinganishwa na fulani na kama umezidiwa vijembe kila kona. Sawa S.Korea ni most educated country in the world lkn wanamatatizo ya afya ya akili yalisababishwa na ushindani kwneye kila kitu.
MATABAKA YA KIJAMII: wanaotoka familia zenye ukwasi wanawadharau masikini na kuwapa kejeli zote unazojua wewe. Kuongezeka chuki kati wavulana na wasichana( GEN Z). Yaani baadhi ya vijana wa kike hawawapendi kabisa vijawa wa kiume hivyo hivyo kwa vijana wa kiume dhidi ya wakike.
Hizo ni moja ya sababu ukiunganisha inapelekea kwa LOWEST BIRTH RATE( FERTILITY RATE 0.68): nakupa picha, birth rate ya kawaida ni 2.1 maana yake ni wastani wa kila mwanamke katika maisha yake anapaswa kuwa watoto 2 au 3( wakike 2 + kiume) hawa ni mbadala wake( replacement yake baada ya kufa) turudi sasa korea. Korea kusini inatabiliwa kufikia 2100 itakuwa ishafutika kweye uso wa dunia. Nchini Korea wastani wa mwanamke kupata mtoto katika maisha yake ni 0.68 iko chini ya wastani wa kila mwanamke kuwa na mtoto katika maisha yake meaning kwamba kila baada ya kaya 3 au 4 ndio kuna uwezekano wakupata mtoto. Gharama za kulea mtoto korea kusini ni kubwa karibu dolla 5000 kwa mwezi.
POPULATION EXTINCTION INAPELEKEA ECONOMIC STAGNATION. Japan ni mashuhuda wazuri wa hili tangu 1990s uchumi wa Japan umekwa sasa hawa dragons pia waonja mziki wa japan maana kinawatesa Korea kwa 80-90 ndio hicho chicho kinawatesa Taiwan, Singapore, HK, Japan na hata China japo sio saana kama wenzie.
Kwa hayo lazima MSONGO UWALE