Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Kuichangamsha akili kidogo.Tatizo lipo hapo
Kwanini nitulize akili wakati nataka kurelax na kuenjoy
At your service My Queen.Kazi yako ya utetezi iko pale pale
Muhimi nione mijongeo 😂Sawaa endelea kufunga jicho moja🤣🤣
Amina sana, tufumbe macho tuombe 🙏Karibu mkuu
Kesho nilud kwenye selikavu yangu niwaachie matapeli majina yao🤣
Cc Razorblade Bwana Apewe sifa Mtumishi😃😃👋
Huo muda sina, siwezi kukaa naangalia series episode zote hizo halafu ndo nije kuamua.Kuruka episode kama ukichaa Fulani mimi siwezi kamwe raha ya movie uwe na curiosity kuhusu yajayo .
Mimi Sheria yangu mwisho episode 5 kama haikeweki siendelei.
Ni ukichaa kweli wala siyo uongo, siwezi poteza muda kusubiri mpaka episode 5 kama alivyosema ndiyo nifanye maamuzi 😂Razorblade adriz The Consigliere amekwambia eti wewe una ukichaaa kwa hiyo tabia yako ya kuruka ruka episodes 😃
Kwahiyo Intelligent businessman ni SRK wa JF 😂Sema Intelligent businessman is so romantic basi tu ni mie na mapenzi yangu ya ki Thailand 😂😂
I'm speechless but I find this interesting 😆
Khalas 😂I'm speechless but I find this interesting 😆
Mapenzi ya ki Thailand ndo yapoje🤣🤣🤣Sema Intelligent businessman is so romantic basi tu ni mie na mapenzi yangu ya ki Thailand 😂😂
🤣🤣🤣🤣Amina sana, tufumbe macho tuombe 🙏
Khalas 😂
Inaonekana Intelligent businessman alishawahi kudate na mthailand, ngoja aje 😂Mapenzi ya ki Thailand ndo yapoje🤣🤣🤣
Bro acha uwaki mwanangu 😂😅Inaonekana Intelligent businessman alishawahi kudate na mthailand, ngoja aje 😂
Una kabia juu Sana, hapa counter attack zina kuhusu.
Familiya 😂Bro acha uwaki mwanangu 😂😅
Tumia Long ball/long ball counter mabeki wangu wafupi 😂Una kabia juu Sana, hapa counter attack zina kuhusu.
Huyu sio mtu wa konami kaka ona hapa nimeelewa mimi tuu😃😃Tumia Long ball/long ball counter mabeki wangu wafupi 😂
Jichanganye uishie kupostiwa umekula 5-0.Huyu sio mtu wa konami kaka ona hapa nimeelewa mimi tuu😃😃