Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

The Murky Stream Drama
1760208417977.jpeg

Mimi ni mshabiki wa Roo Won, kwa hawa waigizaji ambao wanaitafuta miaka 35 ya kuzaliwa.
 
Series: Ms incognito ya 2025

Hii ni series ya kikorea binti ambaye ana maisha magumu na katokea kwenye familia yenye maisha magumu anaomba kazi kwa Mzee mmoja Tajiri ambaye ni mgane Kwenye nafasi ya kuwa board guard na anafanikiwa kupata hiyo nafasi, Baada ya kufanya kazi kwa muda mfupi Mzee anamwambia Mimi Nina maadui wengi na wote wanatokea kwenye familia yangu na pia wameniulia mtoto wangu mpendwa na yote ni kwasababu ya Mali ili unisaidie vizuri ninaomba nikuoe uwe Kama mke wangu unaweza kunisaidia vizuri swali Je Binti atakubali? Na Kama atakubali familia ya Mzee itareact hivi ukisikia hiyo habari? Na baada ya hapo vita itakuwa ya namna gani?
 
Back
Top Bottom