Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Baada ya kumalizana na Tempest nilistuck kwamba nitafuatilia drama gani. Ila juzi mdogo wangu aliniletea hii THE MURKY STREAM. NA Leo nimeimaliza.
Nilichojifunza ni kuwa bado Wakorea wanauwezo wa kutoa vitu vya moto.
Sifa kubwa ya drama hii ni utofauti. Humu ndani hamna mambo ya kujiremba, Jumba la kifalme.
Stori inahakisi uhalisia wa maisha ya dhidi wanayoishi watu kawaida sababu ya mifumo mibovu( Bureaucracy). Ukiamua kuwa mwaaminifu jua kuna gharama ya kulipa. Usaliti ni character ya waovu pia bear that in the mind too, wapo tayari kugeukana, kuua,kutoa sadaka ili kulinda kilicho chao.

Anyway kwangu mimi hii drama ni surprise package. Nadhani kwenye drama za kijijini za 2025 nilizotazama mwaka huu nadhanii ni nzuri zaidi.

Mambo ya kutoa kazi kwa Seasons sipendi basi tu.

Nipo zangu Gyeongju Province nimetulia.
 

Attachments

  • The_Murky_Stream-p1.jpg
    The_Murky_Stream-p1.jpg
    519.1 KB · Views: 19
Mkuu hii comment yako nili iacha kwa makusudi, nili taka kujipa muda ili nifanye rating ya vyuma vya Mwaka huu.

Na hiyo tempest ni average au mid drama tu, haina story au plotting kali kivile.

Drama kali mpaka Sasa 2025 ni mercy for none, manipulated na trigger.

Note: nime zirudia drama zote tatu × 3 kila Moja.
Wacha niitafute hiyo Mercy for None & Trigger nitakuja na majibu.
Asante kwa recommendations.
 
Back
Top Bottom