Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeikamilisha MERCY FOR NONE & THE MANIPULATED
wow!! Nimejihisi kama niko zama zile za 2019-2013 ambapo ilikuwa ni pinnacle ya Thriller/ Action Dramas.

Kabla sijaianza Trigger nilitaka kujipumzisha kidogo na Historical Drama but nimewaza sikupata jibu la haraka. Nimeamua kuvuka bahari ya mashariki kuingia Japan.
Yes! Nimekutana na THE LAST SAMURAI STANDING. What a drama!! Nimeshazikamiliza Episodes zote 6 za Seasons 1.
Najiandaa na Trigger.
Naombeni Remmedation zaidi za mjini na Historical. Historical ikiwa na story kali hata kama haina action ni sawa, kama zipo ni good too.
Haka ka upepo ka hamu ya kakutazama drama lzm nikatumie vizuri kabla hakajakata.
Tale of nokdu, shine or go crazy, my country.

zote action za porini.
 
Screenshot_20251125_061218_Samsung Internet.jpg

Kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye WIND OF THE PALACE: YI SAN na mara ya mwisho kwenye A SCHOLAR WHO WALKS THE NIGHT.
apumzike kwa amani babu wa Taifa.
 
Nimeikamilisha MERCY FOR NONE & THE MANIPULATED
wow!! Nimejihisi kama niko zama zile za 2019-2013 ambapo ilikuwa ni pinnacle ya Thriller/ Action Dramas.

Kabla sijaianza Trigger nilitaka kujipumzisha kidogo na Historical Drama but nimewaza sikupata jibu la haraka. Nimeamua kuvuka bahari ya mashariki kuingia Japan.
Yes! Nimekutana na THE LAST SAMURAI STANDING. What a drama!! Nimeshazikamiliza Episodes zote 6 za Seasons 1.
Najiandaa na Trigger.
Naombeni Remmedation zaidi za mjini na Historical. Historical ikiwa na story kali hata kama haina action ni sawa, kama zipo ni good too.
Haka ka upepo ka hamu ya kakutazama drama lzm nikatumie vizuri kabla hakajakata.
Manipulated bado episode 4, wiki ijayo zinatoka mbili na wiki inayofata mbili.
 
Okay nitaitafuta.
Sikuipa attention hii ya Lee Bang Won. Na hiyo town nitaiongeza kwenye list.

Ila ukipata muda kidogo ipitie LAST SAMURAI STANDING.
Ina vibe la Six flying dragon
Mimi na vijana wangu kina Razorblade, na Selikavu tumesha malizana na ushiro saga, akiwa na kamuykocha ni 🔥 🔥.
 
Nimeikamilisha MERCY FOR NONE & THE MANIPULATED
wow!! Nimejihisi kama niko zama zile za 2019-2013 ambapo ilikuwa ni pinnacle ya Thriller/ Action Dramas.

Kabla sijaianza Trigger nilitaka kujipumzisha kidogo na Historical Drama but nimewaza sikupata jibu la haraka. Nimeamua kuvuka bahari ya mashariki kuingia Japan.
Yes! Nimekutana na THE LAST SAMURAI STANDING. What a drama!! Nimeshazikamiliza Episodes zote 6 za Seasons 1.
Najiandaa na Trigger.
Naombeni Remmedation zaidi za mjini na Historical. Historical ikiwa na story kali hata kama haina action ni sawa, kama zipo ni good too.
Haka ka upepo ka hamu ya kakutazama drama lzm nikatumie vizuri kabla hakajakata.
Ruka na The Royal Gambler.
 
Back
Top Bottom