Yap, huu Mwaka Ume ondoka na wadau aisee.Aiseeh kumbe mzee wetu Lee soonJae hayupo tena?
RIP
Kama JapaneseLITTLE CHALLENGE, NO CHEATING.
A: KOREAN
B: JAPANESE
C: CHINESE/ HongKongers
D: TAIWANESE
E: MONGOLIAN
View attachment 3508142
Mambo yamekuwa hekaheka kila mahali aisee.Influence ya soko la kimataifa, Ndio maana Elon Musk aliwahi kuendesha kampeni ya watu kufuta subscription kwenye Netflix kwa sababu ya kusambaza maudhui ambayo si rafiki kwa watoto mambo kama hayo LGBTQ+, Mpk kwenye katun.
Nadhani drama ambazo zinaznunuliwa na Channel za korea sidhani km zina mambo hayo. Na zishapoteza ushawishi na nguvu kwa Netflix, Disney, Apple tv, Google tv n.k
Demu wangu huyu, Yumia Fujisaki.LITTLE CHALLENGE, NO CHEATING.
A: KOREAN
B: JAPANESE
C: CHINESE/ HongKongers
D: TAIWANESE
E: MONGOLIAN
View attachment 3508142
Joanah nimekumiss bhana.
Nasubiri ep za mwisho tu hapa.Kuna aliye tazama the manipulated
Nimekumiss ZAIID Razorblade , how are you?
Unaijua hit song moja ya huyu ZAIID ??
Kama huijui nakujuza hapo chini ...nimeikumbuka tuuu 😆
View: https://youtu.be/JABUcGNtJ68?si=A-pWGDr0tKzF6q19
By the way nipo huku kila siku ni vile tu nimekuwa mvivu kinyama
Umenisusa sana aisee hata kunirushia salamu ya mbali tu inatosha, nakiwa bored humu nikiingia sikuoni 😪
Hii nyimbo nilikuwa nikiisikia tu sijawahi kutana na video yake full, vipi malkia wangu upo kama dada yupi humo? 😂
Naona imefika hadi EP ya 10Nasubiri ep za mwisho tu hapa.
Chakuandika kwemye hizo nyuzi zingine ndiyo sina sasa ndiyomaana nabaki huku 😂Unakaa sana Seoul uwe unatembea unakuja huku Busan 😆
Kila wakati upo uzi wa wakorea hutembei nyuzi nyingine 🤦♀️
Mie sifanani na dada yoyote humo na Mungu aniepushe nisije kuwa na hizo body shapes amen 😂
Yaah! Mwisho ni ep 12, J5 zikishuka namalizana nazo.Naona imefika hadi EP ya 10
Chakuandika kwemye hizo nyuzi zingine ndiyo sina sasa ndiyomaana nabaki huku 😂
Amina sana hakohako kamwili ndiyo kazuri, nyama muachie ng'ombe 😂🙌
Mimi natumiaVincenzo Jr Selikavu mnatumia site zipi kudownload kdramas?
Mimi natumia
Medeberiyaa
Today tv series
Pirate bays
Nkiri