Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nitakuwa nakuelekeza uandike nini kwenye nyuzi zingine

Sema nyama ninazo hebu nikutumie picha uniambie mwenyewe 😂

Sasa kwasababu tupo hapa naomba site ya kudownload kdrama manake zote nazozijua hazifanyi kazi
Kwa sasa naangalia Moon River lakini kuipata ni telegram
Kwa kunielekeza utakuwa umefanya lamaana sana, tuanze kuongozana sasa 😂

Embu itume huko PM kwanza nimuone malkia niliyekuwa nampambania 😂

Mimi natumia Nkiri.ink, PlutoMovies.Com, maxmovies.com.ng na ziada ya Moviebox.
 
Ukiniona nifuate 🤣
Hebu nitume picha chap kwa uone nyama nyama 🤣
 
Back
Top Bottom