Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Kwa style hii lazima usingizi ukate, yaani hadi Atalanta ana wakanda woii😂😁.Sawa Jana nimetumia sana yaani usingizi ulikata. Ila Asenyeto tumewazoea kuongoza ligi mwishoni mnaaribu.
Haya Usha malizana na ingenious one?, maana vyuma ni vingi na mda mchache hapa duniani.