Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huu ni uzi wa kikorea mkuu. Naomba ubaki hivyo maana siku hizi mtu akitaja kikorea unamtajia kichina. Wachina siwaelewi mazingaombwe mengi,uongo mwingi.
Hauwajui kumbe, muulize GITWA katika vyuma 3 tulivyo angalia kuna mazingaombwe gani?

Kuna kitu ina itwa genre hope una kijua!
 
WACHINA SIWAELEWI NA HAWAELEWEKI. TUBAKI NA DHIMA YA UZI HUU KIKOREA GENRE MBALIMBALI
Hauwajui kumbe, muulize GITWA katika vyuma 3 tulivyo angalia kuna mazingaombwe gani?

Kuna kitu ina itwa genre hope una kijua!
Mwanzisha uzi alileta hivi
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

  • Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
  • Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

  • Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
  • Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
  • Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
  • Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;
  • Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
  • GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..

Kazi kwako.. Enjoy!
 
Hapa it may be a joke to you as usually. Ulianza na kuita nkiri uchafu ukasingizia a joke. Nyinyi daah sijui akina nani wengine
Komaa nayo tu mama, "nyinyi" ndio huwa mna angalia drama yenye ep 300 😁
Kisha ukaja na recommendation zako
Niko na legend of zhang hai episode 40 tu, sema hawa wachina kama korea tu.
Kuna siku nilileta comment hapa nikitaja family drama yenye episode mia hivi ukatoa jibu hilo sema nilikua na mood mbovu nikaona nipotezee tu.

Anyway acha nijiangalizie vikorea kimya kimya huu uzi ushakua jau. Outa here
My sister wapi nilipo kukosoa, naomba uni onyeshe tafadhali.
 
Hapa it may be a joke to you as usually. Ulianza na kuita nkiri uchafu ukasingizia a joke. Nyinyi daah sijui akina nani wengine

Kisha ukaja na recommendation zako

Kuna siku nilileta comment hapa nikitaja family drama yenye episode mia hivi ukatoa jibu hilo sema nilikua na mood mbovu nikaona nipotezee tu.

Anyway acha nijiangalizie vikorea kimya kimya huu uzi ushakua jau. Outa here
Oops madam nyinyi ndio ime ku trigger 🤔, aisee hiyo si ina maanisha wingi au?.

Kama ume subscribe kwenye viki au iqiyi. (Fans page)kuna kundi lina itwa the un matchable hawa wana angalia drama zenye ep nyingi.

Kuhusu nkiri hiyo si ni joke nilisha sema baada ya ku share page ya series!.

Sijaona kosa hapo, maybe catching fire is what you're good at.
 
Cruising in
FB_IMG_17658174913612666.jpg
 
Hapa it may be a joke to you as usual. Ulianza na kuita nkiri uchafu ukasingizia a joke. Nyinyi daah sijui akina nani wengine

Kisha ukaja na recommendation zako

Kuna siku nilileta comment hapa nikitaja family drama yenye episode mia hivi ukatoa jibu hilo sema nilikua na mood mbovu nikaona nipotezee tu.

Anyway acha nijiangalizie vikorea kimya kimya huu uzi ushakua jau. Outa here
But K-dramas sell better internationally than other Asian' dramas.
Drama za wakorea zimeenda shule.
Wachina hawajawahi kunivutia kwa ujumla kwenye drama.
Baadhi ya drama za kichina zilizowahi kunivutia
1. A FIST WITHIN FOUR WALLS
3. THE RIGHTEOUS FIST
2. ARROW IN THE BOWSTRING
5. THE DREAM
4. STRANGER HEREO
6. THE MASTER OF TAICH
7. THE DESTINY TO LOVE YOU
8. THE LEGEND OF BRUCE LEE
Zingine sizikumbuki ni nzuri somehow
Wachina napenda single movie zao.
Huwezi kuweka K-dramas kwenye sentence moja na Chinese dramas. Tusijisahaulishe. Ubora wa drama unapimwq na vitu vingi but action sio kipengele cha msingi.
Weka kazi zote za kichina kali, halafu ukampa mtu ambaye hajawahi kutazama Asian dramas ukampa list hii ndogo tu ya K-dramas
1. DONG YI
3. DAE JANG GEUM
2. EMPEROR OF SEA
4. HURJUN
5. YI SAN
6. SANG DO
7. PRINCESS JAMYUGGO
AU KAMA ANAPENDA KAZI ZA KIBABE
8. GWANGAETTO THE GREAT
9. EMPEROR WANG GUN
10. JUMONG
11. THE AGE OF WARRIORS
Nina uhakika atastick kwa K-dramas
 
Hapa it may be a joke to you as usually. Ulianza na kuita nkiri uchafu ukasingizia a joke. Nyinyi daah sijui akina nani wengine

Kisha ukaja na recommendation zako

Kuna siku nilileta comment hapa nikitaja family drama yenye episode mia hivi ukatoa jibu hilo sema nilikua na mood mbovu nikaona nipotezee tu.

Anyway acha nijiangalizie vikorea kimya kimya huu uzi ushakua jau. Outa here
Hakuna mahali utaenda bibie, hapa ni kwetu sote.

Usipoonekana kwa kipindi kirefu nitakuwa nikikuita, familiya imara haitenganishwi na kwaro.
 
Anaetaka wachina aanzishe uzi wake
Ni kweli huu ni Uzi wa Korean lakini sioni shida kama mtu kaweka kitu kilicho mvutia kutoka china. Mimi kama mpenzi wa movies and series naamini kuwa Kuna wengine nao huo wakati mwingine wanaangalia kutoka mataifa mengine. Hivyo kama familia ya kikorea tusitupiane mawe kisa tu mtu kaweka mchina

Niko tayari kukosolewa kama nimekosea.
 
Wala hujakosea na huna haja ya kuomba radhi, una ogopa mawe acha yarushwe tuone.

Beside wachina wata wekwa, as long as ni asia.
 
Back
Top Bottom