Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huu ni uzi wa kikorea mkuu. Naomba ubaki hivyo maana siku hizi mtu akitaja kikorea unamtajia kichina. Wachina siwaelewi mazingaombwe mengi,uongo mwingi.
Cheki hizi zinaweza kubadilisha mtazamo
1.meet yourself
2.Reset
3.your are my glory
4.when I fly towards you
5.Mobius
6.lighter and princess
7.speed and love
8.always home
9.legend of shenli
10.Falling into your smile
 
KI'm woo bin and shin min ah wedding.

Nasubiri zenu Razorblade, Selikavu, adriz, Nifah,
FB_IMG_17663528449858292.jpg
 
Nimemaliza Empress Ki ni bonge Moja la series yaani ladha halisi ya pori ninayoitakaga .

Ila wamezingua kwenye vifo vya kuhuzunisha , ndio series yenye vifo vingi vya kuhuzunisha sad endings kibao ukiwa na roho nyepesi kama Joanah inaweza kukutoa machozi.

1. Kifo Cha Wangu Yu (Main Character na sterling mwenyewe)

2. Kifo Cha General Ki

3. Kifo Cha Prince Maha

4. Kifo Cha Batolu

5. Kifo Cha Taltal
 
Cheki hizi zinaweza kubadilisha mtazamo
1.meet yourself
2.Reset
3.your are my glory
4.when I fly towards you
5.Mobius
6.lighter and princess
7.speed and love
8.always home
9.legend of shenli
10.Falling into your smile
Nawe angalia hizi.
  • journey to love.
  • legend of zhang hai
  • the ingenious one
  • legend of fei.
  • the four

Mjini
- cruel romance.
 
MADE IN KOREA:
Idara ya usalama wa taifa ni dude fulani hivi linaloweza kupiga show yeyote ile. Linaweza kufanya kazi safi, kazi chafu, kazi ya kishetani, kimalaika..

Jamani eehhhh! wasiojulikana hawapo.Wahuni wanaoweza kutambua mpaka chakula nilichokula leo watashindwaje kuwatambua -----.
Nisiendelee.

Kunbe neno uzalendo lina tafsiri pana sana. Unaweza kuwa muuza unga na ukawa mzalendo, lakini pia unaweza kuwa mlinda border na ukawa mpinga wazalendo
Screenshot_20260116_140931_Google.jpg

Nionyeshe project mbaya ya Hyun Bin, nikuonyeshe MBWA anayeitwa doggy style.
 
Back
Top Bottom