Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Weekend hii iko well spent!Nimeangalia
Spring Fever
Positively Yours
To My Beloved Thief
Undercover Miss Hong

Hapa najifosi kuangalia The Judge Returns ambayo sio mambo yangu

Nishamcrush ML wa Spring Fever...asipocheka,akicheka anaharibu

FL wa To My Beloved Thief haendani na ML
 
Nimerudia jumong mara kibao , ninrerudia Vincenzo baadhi ya episodes, nimerudia Sux flying dragon baaadhi ya episodes, emperor of the Sea niliwahi kurudia full , Kingdom of the winds nayo full nilirudia , Arthdal Chronicles 1 episodes kadhaa nilirudia . Sasa nataka kurudia arthdal Chronicles 2 full.

Kigongo kipya ambacho sijawahi kucheki nacheki now ni Royal Gambler
We fimbo ya muanzi inakuhusu 😂
 
Back
Top Bottom