Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Hupendi hekaheka wewe unapenda story laini 😂Thriller sizipendagi hata
Hupendi hekaheka wewe unapenda story laini 😂Thriller sizipendagi hata
Khalas 😂adriz ni ng'ombe wa kwenye mashuka 😂🤣.
Hupendi hekaheka wewe unapenda story laini 😂
Kwanini demu? Hapa nakataa ulichokiandika ndicho unachokiwaza 😂😂😂Oya mambo yangu hayo , Mimi uniwekee demu na vigongo vikali vya pori ama hivi nakataa demu na siwazi kabisa kuhusu demu.
Nilikuwa napenda story za hivyo wakati naingia kwenye ulimwengu wa mapenzi 😂Stori laini na isiyotumia akili sana kuielewa 😆
😂😂Nilikuwa napenda story za hivyo wakati naingia kwenye ulimwengu wa mapenzi 😂
Sio pombe ni wali mzee😂😂Pombe sio chai kaka🤣
Huyo ni Mke sio demu ndio maana nitachagua FT tena Niko radhi kuacha starehe na distractions zote kuanzia mpira ,games na series za aina yeyote yeye pekee ndiye atakuwa jicho langu , furaha yangu na starehe yangu .
Dogo nita kupiga panga ka muhyul, Selikavu, Razorblade muhuni huyu shwaini 😂😂Huyo ni Mke sio demu ndio maana nitachagua FT tena Niko radhi kuacha starehe na distractions zote kuanzia mpira ,games na series za aina yeyote yeye pekee ndiye atakuwa jicho langu , furaha yangu na starehe yangu .
Kama mpira tutakuwa tunacheza wote ndani magori madogo series zozote tunaigiza wenyewe ndani kwa mke mzuri mwenye vigezo kamili kama Ft Niko tayari kuCompromise kila kitu .
Do you find it amusing ?
Razorblade nadhani ushanielewa Chief General misimamo yangu
Hizi drama za love story ukiziangalia sana zinauchota ubongo uamini kile unachokiona 😂😂😂
Ikawaje sasa
Mimi siwezi kukuelewa sababu hivyo unavyotaka kuviacha kisa mwanamke mie ndo navizingatia 😂😂😂Huyo ni Mke sio demu ndio maana nitachagua FT tena Niko radhi kuacha starehe na distractions zote kuanzia mpira ,games na series za aina yeyote yeye pekee ndiye atakuwa jicho langu , furaha yangu na starehe yangu .
Kama mpira tutakuwa tunacheza wote ndani magori madogo series zozote tunaigiza wenyewe ndani kwa mke mzuri mwenye vigezo kamili kama Ft Niko tayari kuCompromise kila kitu .
Do you find it amusing ?
Razorblade nadhani ushanielewa Chief General misimamo yangu
Kwani hutumii supu ya mapupu tupite nayo? 😂🙌Dogo nita kupiga panga ka muhyul, Selikavu, Razorblade muhuni huyu shwaini 😂😂
wali maharage huo 😂 😁Pombe siyo supu 😂
Ndondo lilikulevya 😂wali maharage huo 😂 😁
Nendeni manzese 😂😂Kwani hutumii supu ya mapupu tupite nayo? 😂🙌
Kwani kuoa mwisho miaka mingapi?Ndondo lilikulevya 😂
Hakuna mwisho muhimu iwe inafanya kazi 😂Kwani kuoa mwisho miaka mingapi?