Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Weekend hii iko well spent!Nimeangalia
Spring Fever
Positively Yours
To My Beloved Thief
Undercover Miss Hong

Hapa najifosi kuangalia The Judge Returns ambayo sio mambo yangu

Nishamcrush ML wa Spring Fever...asipocheka,akicheka anaharibu

FL wa To My Beloved Thief haendani na ML
Mkuu hizi ni drama with happy ending?
 
Iljimae

Hi series in nzuri kwangu. Huwa si ichoki kuingalia.
Hivi Iljimae iliendrlea Part two? Maana Dah! Ni bonge la series, full vichekesho full mapanga….Sema bhana huwa mwisho wanatuachaga tukiwa bado tunataka iendelee
 
Razorblade, Selikavu, Nifah ngoja tumpe adriz sababu ya kurudia haya madude 😂😂
FB_IMG_17695559677411553.jpg
 
Hii si Six Flying Dragons au?

Mimi nipo kwenye mchakato wa kurudia drama nilizokwisha kuziona, nimegundua nilikuwa sijui mambo mengi sana kwa kuziangalia mara moja tu.

Nipo nairudia Korea-Khitan War 🔥
Ndio hiyo .

Mimi nina Low latent inhibition nilirudia Nakuwa makini kama niina anza , na asikuambie mtu vigongo vyote nilivyowahi kurudia utamu uliongezeka na niligundua vitu vingi tofauti na mwanzo.
 
Hivi Iljimae iliendrlea Part two? Maana Dah! Ni bonge la series, full vichekesho full mapanga….Sema bhana huwa mwisho wanatuachaga tukiwa bado tunataka iendelee
Katika nilizoziona Iljimae ya kawaida sana watu wameikuza sana haifikii viwango vya Six flying dragon, Empress Ki , Joseon Gunman na nyinginezo nlizowahi kuona
 
Hii si Six Flying Dragons au?

Mimi nipo kwenye mchakato wa kurudia drama nilizokwisha kuziona, nimegundua nilikuwa sijui mambo mengi sana kwa kuziangalia mara moja tu.

Nipo nairudia Korea-Khitan War 🔥
Yenyewe, siku hizi naangalia vyuma vya zamani kwa episode au kukirudia chote.

usisahau my country au basketball nayo Kali.
 
Back
Top Bottom