Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hizi drama za love story ukiziangalia sana zinauchota ubongo uamini kile unachokiona 😂

Kuna muda unahitaji changamoto tofauti zaidi ili kuendana na mazingira halisi, ndipo nilipoanza kuzipotezea ingawa bado napenda hata nikiangalia thriller iwe na love story kidogo kunogesha tena love story with happy ending 😂

NB: Brick & Lace-Love is Wicked.
Mie ni love story tu na ubongo uendelee hivi hivi kuamini unachokiona
Love story with happy ending 🥂
Sitaki kulizwa na mapenzi ya uhalisia wangu na kwenye drama 😃
 
Mie ni love story tu na ubongo uendelee hivi hivi kuamini unachokiona
Love story with happy ending 🥂
Sitaki kulizwa na mapenzi ya uhalisia wangu na kwenye drama 😃
Ukiwa addicted na love story za korea hizo za happy ending haki ya nani huwezi amini kama kuna kuumizwa kwenye mapenzi 😂

Nishavuka huko 😂🙌
 
Toka aondoke dramacool sijaona site nyingine Kali ya kumfunika mule haukosi kitu na wameweka mpangilio mzuri.

Nkiri Kuna series karibia tatu nimezikosa hakuna wakati nilikuwa napata dramacool
 
Toka aondoke dramacool sijaona site nyingine Kali ya kumfunika mule haukosi kitu na wameweka mpangilio mzuri.

Nkiri Kuna series karibia tatu nimezikosa hakuna wakati nilikuwa napata dramacool
Series gani una taka?, mchawi wifi tu.

The mighty store x intelli fvckin world
 
Mzee ji sung wa devil judge, ame rejea na hii the judge return.

Ina episode 14, ila wame achia 11 mpaka Sasa. 🔥🔥.

Nifah, Selikavu, Razorblade, Mac Alpho,
FB_IMG_17704500204760325.jpg
 
Korean drama series:The Art of Sarah

Moja Kati ya pieces Kali ni hii Kuna mauaji yanafanyika ila Sasa haijulikani anayefanya ni muhusika yupi kwa sababu muuaji ana identity tofauti tofauti ishu ni kumjua ni identity yupi ni sahihi? Ndipo hapa police kwenye kitengo cha investigation wanapokuna kichwa kumpata the real suspect
 
AMAZING K-SERIES ACTORS LINE UP!

Upcoming political thriller revenge series "Climax" releases new official poster starring Ju Ji Hoon, Ha Ji Won, Nana, Oh Jung Se, and Cha Joo Young.

#Climax premieres on March 16 via Disney+.
FB_IMG_17728344235926236.jpg
 
Back
Top Bottom