dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
mi siwezi kusuburi alafu unakuta kuna watu wanaanza na kusimuliana tena mi nataka nione mwenyewe sio kuambiwaSiwezi mla kuku mtamu taratibu, nammwaga kwenye sinia aishe chap.
mi siwezi kusuburi alafu unakuta kuna watu wanaanza na kusimuliana tena mi nataka nione mwenyewe sio kuambiwaSiwezi mla kuku mtamu taratibu, nammwaga kwenye sinia aishe chap.
mi siwezi kusuburi alafu unakuta kuna watu wanaanza na kusimuliana tena mi nataka nione mwenyewe sio kuambiwa
Hizo za kichina mkuu-Fireworks of my heart
-Fated hearts
Story nzuri ni C-drama.
Ukisimulia drama mbele yangu, na tena kwangu lazima ule makofi.mi siwezi kusuburi alafu unakuta kuna watu wanaanza na kusimuliana tena mi nataka nione mwenyewe sio kuambiwa
Everton kakukanyaga husikii kabisa
Nimeishaziona. Ila unanipatia sana kwa kujua series za aina yangu. Hiyo pursuit of jade nimeona trailer yake nikasema ngoja niisubirie.Acha kelele, kuna ongoing pursuit of jade ni 🔥.
Nasubiri iishe, maaa ni Kali, hivi joy of life au sword snow stride usha ziona?
Endelea na zile za awali nilizo kupa sasa, vyuma bado vipo.Nimeishaziona. Ila unanipatia sana kwa kujua series za aina yangu. Hiyo pursuit of jade nimeona trailer yake nikasema ngoja niisubirie.
Hapo umecheza raisi🔥, nishapata kazi ya kesho
Ewe mwanachama kenge, ume maliza tale of nokdu?Hapo umecheza raisi🔥, nishapata kazi ya kesho
Bado mkuu🤣🙌Ewe mwanachama kenge, ume maliza tale of nokdu?
Tamaa mbaya sana 😂Bado mkuu🤣🙌
Mapema namalizia keshoTamaa mbaya sana 😂
SawaWatu wakiolewa wanapotea sana jukwaani kwa baadhi ninaowafahamu ndio maana nikakuuliza hivyo
AMAZING K-SERIES ACTORS LINE UP!
Upcoming political thriller revenge series "Climax" releases new official poster starring Ju Ji Hoon, Ha Ji Won, Nana, Oh Jung Se, and Cha Joo Young.
#Climax premieres on March 16 via Disney+.
View attachment 3553938
Mzee lugha ya wakoloni haipandji?, maana maelezo yame nyooka.Hii inaitwaje naona kikorea tu hapo
Hiyo movie ya suspect ni ya mwaka gani?Mzee lugha ya wakoloni haipandji?, maana maelezo yame nyooka.
Climax
Dah mkuu Google nayo ulisha iuza!Hiyo movie ya suspect ni ya mwaka gani?
Nimecheki ni ya muda sana me napenda kuangalia zile za kuanzia 2016Dah mkuu Google nayo ulisha iuza!
Endelea kupenda tu, ila jua movie ni kama kitabu kama huja kisoma. you know nothing about it.Nimecheki ni ya muda sana me napenda kuangalia zile za kuanzia 2016
Huwa sipendi kwasababu ya quality zake huwa zinakuwa sio nzuri ndio maana sipendi kuziangaliaEndelea kupenda tu, ila jua movie ni kama kitabu kama huja kisoma. you know nothing about it.
Oops, chuma hd hizo, labda mb kwako Ndio kisanga chagua quality.Huwa sipendi kwasababu ya quality zake huwa zinakuwa sio nzuri ndio maana sipendi kuziangalia