Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

AMAZING K-SERIES ACTORS LINE UP!

Upcoming political thriller revenge series "Climax" releases new official poster starring Ju Ji Hoon, Ha Ji Won, Nana, Oh Jung Se, and Cha Joo Young.

#Climax premieres on March 16 via Disney+.
View attachment 3553938
Hey mkuu Asenyeto hebu naomba list ya vyumba vya kichina hapa
Naona Korea sasa hivi wanasuasua hawajatoa vyuma vikali vya kusisimua ubongo
 
Kdrama 2026: SIREN'S KISS

Hii ni moja kati ya series nzuri sana kuanzia story mpaka mpangilio wake kiasi ambacho inachukua attention na kukufanya uwe excited kuendelea kutazama iko hivi, Kuna mdada ambaye wanaume wote anaodate nao huwa wanakufa na kabla hawajafa The insurance beneficiary unaelekezwa ilipwe kwake hii inaibua tuhuma juu yake kuwa yeye ndio muhusika wa mauaji hayo huku akifuatiliwa na jamaa ni investigator wa hizo case, mazingira yote yanampoint yeye lakini ushahidi wa moja kwa moja unaonesha amehusika na yeye anakataa kuwa hajafanya hayo mauaji swali linakuja hivi Je kama sio yeye ni Nani anahusika na anafanya hivyo kwasababu gani?
 
Kingine ambacho kimenivutia kwenye hii series ukiachana na genre zingine ni romance genre ya humu ni ya kiwango na matured zaidi sio ya kitoto au ya u comedy kama zilivyo kdrama nyingi watu wapo serious hakuna Mambo ya sijui utotoni walikuwa wanapendana wakaja kuwa wakubwa wanakutana wanaendeleza penzi lao si uongo huo
 
Hatimaye leo nimeamua kuitazama.
THE SWORDMAN
Wow, Jang Hyuk hajawahi kukosea, hafai humu ndani. Though iko emotional sana.
5 🌟

Recommendation ya drama pls
 

Attachments

  • 7123mMeoKOL._AC_UF894,1000_QL80_.jpg
    7123mMeoKOL._AC_UF894,1000_QL80_.jpg
    128.7 KB · Views: 18
Back
Top Bottom