Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

adriz unafukua makaburi yangu
Nilikuwa nacheki post za nyuma , kutafuta recommendations Kali za Korea za zamani zenye ladha halisi ya pori nikakuta umeupiga mwingi katika uchambuzi wa arthdal Chronicles 1.

Ile series ukiwa na kichwa chepesi hauelewi kitu unaweza kuona kama makida tu ukaacha njiani , inataka kutuliza akili sana kuelewa na kuunga dots . Wabongo series kama hizo wengi ngumu kufuatilia na kuelewa unless iwe na action Kali kama Six flying dragon hapo ndio wanaweza kuPay attention, kuunganisha dots na kupata mawili matatu.
 
Kwenye IG SJK kapost picha kagonga suti , mashabiki wamekumbuka Vincenzo wanataka upigwe season 2.
IMG_20260119_095319.jpg
 
Sio mashabiki, sema weee!ndio una litaka hilo dude 😁😂.

Selikavu, Razorblade
Jana nimeiDownload episode ya mwisho Kuna vipande navikubali sana nataka nirudie 😂

Lile Dude nalikubali sana nakumbuka kipindi wewe na Selikavu ndio mlinichochea wakati nilikuwa nimezikataa za Mjini nikaja kucheki nikapata mzuka zaidi baada ya kucheki descendants na kuelewa pigo za mwamba.

Kusema kweli mara nyingine mtu Kukubali series Fulani inatokea endapo inegusa sehemu yako ya maisha , Mimi Vincenzo imegusa sehemu yangu ya maisha kwa asilimia kubwa sababu nimekulia mitaa uswahilini na korofi sana jijini Dar es Salaam Kuna dhuluma ,ubabe na bullying za kutisha .

Kipindi cha unyonge wangu ilikuwa kila siku nalia kwa wazazi na kumlilia Mungu kuwa "mbona watu Wema na sio wagomvi tunateseka hivi kuonewa ? yaani ukiwa mpole kila mtu anaona kibonde wa kukuonea ?

Niliishi kwenye unyonge huo nilidhalilika , kupigwa bila sababu na wababe shuleni na mitaani siku nikafikiria nikasema unyonge hauna nafasi Duniani inabidi niwe Nyangwisi kusurvive kwenye Jamii ya MaNyangwisi vingenevyo nitaishi kwa tabu hiyo Ina reflect kauli ya Vincenzo ambayo imebeba series nzima ambayo inasema "only evil can punish evil"

Haikuwa kazi rahisi finally nikaturn into Mafia mode, mtu yeyote anayeingia anga zangu kihuni nikawa naruka nae kihuni na ikawa mpaka wanyonge wengine mtaani kimbilio lao Mimi , watu wa nyunbani kwangu Dada na wadogo zangu wanaogopeka vibaya sana .

images (42).jpeg
 
View attachment 3531765
A

Selikavu tuli fanya makosa makubwa sana 😂 🤣
 
Intelligent businessman embu mpe list ya series huyu kijana kila siku kurudia series 1 ni matumizi mabaya ya bando na muda 😂😂😂
 
Nimerudia jumong mara kibao , ninrerudia Vincenzo baadhi ya episodes, nimerudia Sux flying dragon baaadhi ya episodes, emperor of the Sea niliwahi kurudia full , Kingdom of the winds nayo full nilirudia , Arthdal Chronicles 1 episodes kadhaa nilirudia . Sasa nataka kurudia arthdal Chronicles 2 full.

Kigongo kipya ambacho sijawahi kucheki nacheki now ni Royal Gambler
 
Back
Top Bottom