GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,752
- 2,114
Hii ni noma imenilaza Jana saa Saba usiku. Wakati naendelea na hii naomba pendekezo la chumba kingine kitakachofatia maana Huwa unanipatia taste zangu mkuu. "Pamoja na kuwa wewe ni mpenzi wa arsenal ila kwenye hizo shoo tupo pamoja."😁😁😁Yuang xi huyo, ana style yake Ina itwa 10 breath ni 🔥 🔥.
Kuna kina jin best swordman in yuangzhou, mo bai, oyaa hii kazi ni shida.