Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mki hitaji series niambieni, ila muwe na telegram tu.

720p/ mb ni 100- hazizidi 200 per episode, naona nisaidie kwa style hiyo.

Korea, Chinese, kizungu bado sijapa nafasi kivile, ila zitakuwepo.

# achaneni na ule uchafu wa nkiri, mfalme nasolve hii 😂 😂.

Nifah, Razorblade, Razorblade, Selikavu, D A E M U S H I N, GITWA.
 
MV5BMmY0NzkzMTEtMzE0NC00ZDgwLTg5ZDQtZjY1M2ZkNjM4ZmNiXkEyXkFqcGc@._V1_QL75_UY281_CR18,0,190,281_.jpg

Hii ni habari nyingine 🙌🏽
 
Baada ya kumalizana na Tempest nilistuck kwamba nitafuatilia drama gani. Ila juzi mdogo wangu aliniletea hii THE MURKY STREAM. NA Leo nimeimaliza.
Nilichojifunza ni kuwa bado Wakorea wanauwezo wa kutoa vitu vya moto.
Sifa kubwa ya drama hii ni utofauti. Humu ndani hamna mambo ya kujiremba, Jumba la kifalme.
Stori inahakisi uhalisia wa maisha ya dhidi wanayoishi watu kawaida sababu ya mifumo mibovu( Bureaucracy). Ukiamua kuwa mwaaminifu jua kuna gharama ya kulipa. Usaliti ni character ya waovu pia bear that in the mind too, wapo tayari kugeukana, kuua,kutoa sadaka ili kulinda kilicho chao.

Anyway kwangu mimi hii drama ni surprise package. Nadhani kwenye drama za kijijini za 2025 nilizotazama mwaka huu nadhanii ni nzuri zaidi.

Mambo ya kutoa kazi kwa Seasons sipendi basi tu.

Nipo zangu Gyeongju Province nimetulia.
Hii nimecheki trailer tu nimekubali nimeshusha zote , vyuma kama hivi vya pori vyenye siasa , mapanga , njama na Ujasusi ndio navitaka
 
Nimeikamilisha MERCY FOR NONE & THE MANIPULATED
wow!! Nimejihisi kama niko zama zile za 2019-2013 ambapo ilikuwa ni pinnacle ya Thriller/ Action Dramas.

Kabla sijaianza Trigger nilitaka kujipumzisha kidogo na Historical Drama but nimewaza sikupata jibu la haraka. Nimeamua kuvuka bahari ya mashariki kuingia Japan.
Yes! Nimekutana na THE LAST SAMURAI STANDING. What a drama!! Nimeshazikamiliza Episodes zote 6 za Seasons 1.
Najiandaa na Trigger.
Naombeni Remmedation zaidi za mjini na Historical. Historical ikiwa na story kali hata kama haina action ni sawa, kama zipo ni good too.
Haka ka upepo ka hamu ya kakutazama drama lzm nikatumie vizuri kabla hakajakata.
 
Back
Top Bottom