Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Joanah waambie wapambe wako nime salimu amri, wasi endelee kuni kanyagaπ¦Razor atamfunga Negan lin naona bado kuna oxygen anaoata huyu, kinachofata tupige roba ya mbao kama watoto wa keko πππ
Hahaha, Nakumbuka yule mwamba Lee ta gon, aliyecheza kama Dam Doek( Gwangaeto)kwenye The Great Conqueror Gwangaeto. Lilelimwamba lilitisha mule. Ila nililikuta kwenye drama za mapenzi ni watu wawili tofauti na jamaa aniziweza. Ingawa nilifadhahika kodogo nikasema mbona kama kakosewa hivi huyu anahitaji kazi za kibabe, maan mule The Great King alikuwa mnyama na nusu.Issue sio wasiweke maudhui ya comedy me ninachopinga ni Kuna characters ambao hawana ile talent ya uchekeshaji kabisa hata ukiwaangalia lakini madirectors wanawaforce wawe comedians mfano mzuri yule starring aliyecheza drama ya The Veil na humu alikuwa very serious na kacheza vizuri Kuna drama nimeona Kawekwa kwenye maudhui ya comedy unaona kabisa hiyo nafasi haimpendezi kwanini wasiweke characters wenye talent ya uchekeshaji kwenye drama zao zenye genre ya comedy kuliko hichi wanachofanya
Wapo ambao wanatalent nyingi kokote ana fit ila wapo wengine huwa hawafit kwenye role nyingi na kizuri kwenye utengenezaji wa movie Kuna edit Kama mtu hawezi ni Bora tu aachwe maana ukiforce unapoteza ubora wa movieHahaha, Nakumbuka yule mwamba Lee ta gon, aliyecheza kama Dam Doek( Gwangaeto)kwenye The Great Conqueror Gwangaeto. Lilelimwamba lilitisha mule. Ila nililikuta kwenye drama za mapenzi ni watu wawili tofauti na jamaa aniziweza. Ingawa nilifadhahika kodogo nikasema mbona kama kakosewa hivi huyu anahitaji kazi za kibabe, maan mule The Great King alikuwa mnyama na nusu.
Ila nadhani kuwa Directors wanawapa characters roles tofauti nadhani wanajaribu kupanua(split) kipaji cha mwigizaji na kuwafanya kuwa flexible. Nadhani kucheza series inapaswq uwe na vitu vingi zaidi kuliko single.
Na watu watasema huyu anaweza hiki ila role tofauti inamjenga msanii. No matter how talented you're kujinfunza kuna super-charge kipaji chako. Na kwenye mchakato huo wa ku Explore vilivyondani yako huleta taharuki na gumzo
Kwa nini Korea wanajiua sana maisha magumu au ?Perhaps wanaweka na kupenda comedy LABDA kwa sababu maalum. Korea( ROK),Japan, Taiwan, HK, China, Singapore ni most depressed Countries duniani. Kiwango cha kujiua( Suicide rate)kwenye hizo Nchi kipo juu kupita kawaida. Ila wakorea wamezidi kwa msongo aisee. Ile Nchi hata wewe ukikulia huko lazima uonje joto la jiwe. Anyway labda ndio maana wanapenda comedy.
Above all TEMPEST imekaa kiume aisee
Ndiyo, hiyo ni moja ya sababu.Kwa nini Korea wanajiua sana maisha magumu au ?
Pole sanaπππ nafikiri nimechoka sana manake sielewi
Dahπ€£πRazor atamfunga Negan lin amesema anapiga kichwani na bado unapumua, nimeangalia vizuri kichwani nimeona kuna helmet π
Mie nimeamua kupiga kifuani na chembe ili ufe taratibu ila kwa maumivu makali ππ
Khalas π
Kama misoπ€£Hio code umepigaje ? πππ
Then what happened π€£Nime furahi kuona uli simama na mfalme wako, hawa kenge wengine wali zira hata kumsalimia princess fulaniπ¦
Apewe bakuriRazor atamfunga Negan lin naona bado kuna oxygen anapata huyu, kinachofata tupige roba ya mbao kama watoto wa keko πππ
Baada ya Awafim kula ban nimerudi Nkiri, naburudika tu.Wakuu Numbisa Joanah na wengine wote tuijaribu hii wakati tunatafuta mwafaka wa Awafim yetu... Nitalud tena na nyingine nikipata
NaijaPrey | 2026 Latest Movies & Series Download
Download Latest 2026 Movies and Series on NaijaPrey.com, download hollywood movies, movies download netnaija movies net9ja, fzmovies naijaprey movies download 2026.www.naijaprey.tv
Jaribu hiyo πBaada ya Awafim kula ban nimerudi Nkiri, naburudika tu.
Kuna wakati kusubirishwa kuna raha, kuna ujinga huwa nafanya series ikiwa complete yote.Genie make a wish wamerelease episodes zote 13 complete? π³π³
Huu utaratibu uigwe na watu wote kuliko kutusubirisha kila wiki
Hamna usinishawishi πJaribu hiyo π
Kuna wakati kusubirishwa kuna raha, kuna ujinga huwa nafanya series ikiwa complete yote.
Naangalia episode ya kwanza mpaka mwisho halafu naangalia ya katikati halafu namalizia ya mwisho(ya kati na mwisho narusha vipande)
Baada ya hapo ndiyo narudi kuendelea na episode ya pili.
Huwa nafanya hivyo kuangalia kama inanifaa ili nisipoteze muda.
Khalas π
Kuna zingine huwa zinaanza taratibu, sema kwakuwa wewe siyo mfatiliaji wa thriller.Kwangu mie drama kama ni mbaya naiona tangu episode ya kwanza
Kuna kale ka-feeling ka kukata stimu dakika 30 tu za episode ya kwanza π
Binafsi kuruka episode najiona kama najiibia hivi
Wakuu Numbisa Joanah na wengine wote tuijaribu hii wakati tunatafuta mwafaka wa Awafim yetu... Nitalud tena na nyingine nikipata
NaijaPrey | 2026 Latest Movies & Series Download
Download Latest 2026 Movies and Series on NaijaPrey.com, download hollywood movies, movies download netnaija movies net9ja, fzmovies naijaprey movies download 2026.www.naijaprey.tv