Kuichangamsha akili kidogo.Tatizo lipo hapo
Kwanini nitulize akili wakati nataka kurelax na kuenjoy
At your service My Queen.Kazi yako ya utetezi iko pale pale
Muhimi nione mijongeo πSawaa endelea kufunga jicho mojaπ€£π€£
Amina sana, tufumbe macho tuombe πKaribu mkuu
Kesho nilud kwenye selikavu yangu niwaachie matapeli majina yaoπ€£
Cc Razorblade Bwana Apewe sifa Mtumishiπππ
Huo muda sina, siwezi kukaa naangalia series episode zote hizo halafu ndo nije kuamua.Kuruka episode kama ukichaa Fulani mimi siwezi kamwe raha ya movie uwe na curiosity kuhusu yajayo .
Mimi Sheria yangu mwisho episode 5 kama haikeweki siendelei.
Ni ukichaa kweli wala siyo uongo, siwezi poteza muda kusubiri mpaka episode 5 kama alivyosema ndiyo nifanye maamuzi πRazorblade adriz The Consigliere amekwambia eti wewe una ukichaaa kwa hiyo tabia yako ya kuruka ruka episodes π
Kwahiyo Intelligent businessman ni SRK wa JF πSema Intelligent businessman is so romantic basi tu ni mie na mapenzi yangu ya ki Thailand ππ
I'm speechless but I find this interesting π
Khalas πI'm speechless but I find this interesting π
Mapenzi ya ki Thailand ndo yapojeπ€£π€£π€£Sema Intelligent businessman is so romantic basi tu ni mie na mapenzi yangu ya ki Thailand ππ
π€£π€£π€£π€£Amina sana, tufumbe macho tuombe π
Khalas π
Inaonekana Intelligent businessman alishawahi kudate na mthailand, ngoja aje πMapenzi ya ki Thailand ndo yapojeπ€£π€£π€£
Bro acha uwaki mwanangu ππInaonekana Intelligent businessman alishawahi kudate na mthailand, ngoja aje π
Una kabia juu Sana, hapa counter attack zina kuhusu.
Familiya πBro acha uwaki mwanangu ππ
Tumia Long ball/long ball counter mabeki wangu wafupi πUna kabia juu Sana, hapa counter attack zina kuhusu.
Huyu sio mtu wa konami kaka ona hapa nimeelewa mimi tuuππTumia Long ball/long ball counter mabeki wangu wafupi π
Jichanganye uishie kupostiwa umekula 5-0.Huyu sio mtu wa konami kaka ona hapa nimeelewa mimi tuuππ