Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Oh Hallelujah! Mungu akubariki.Mki hitaji series niambieni, ila muwe na telegram tu.
720p/ mb ni 100- hazizidi 200 per episode, naona nisaidie kwa style hiyo.
Korea, Chinese, kizungu bado sijapa nafasi kivile, ila zitakuwepo.
# achaneni na ule uchafu wa nkiri, mfalme nasolve hii π π.
Nifah, Razorblade, Razorblade, Selikavu, D A E M U S H I N, GITWA.
Amen, barikiwa pia.Oh Hallelujah! Mungu akubariki.
Sasa hivi nina mzigo wa kutosha, naisevu hii nitakutafuta.
# achaneni na ule uchafu wa nkiri, mfalme nasolve hii π π.
I. Just made out a joke, siku aim ku offend anyone.No fair at all. Kila mmoja ana uhuru wa kuvuta drama apendapo mkuu. Tuache tabia za kupangiana drama za kuangalia hadi sehemu za kuvutia.
Hapana AsanteTutakupataje huko telegram?
Oyaa huu mzigo ni hatari aisee, yaani series za korea zenye plot ya revenge hazijawahi kuniangushaHaya ruka na manipulated chap, kabla sija kuletea lile bakuli la chumaπ
Chuma Kali Sana, kama ni mpenzi wa porini ruka na my country au shine or go crazy.Oyaa huu mzigo ni hatari aisee, yaani series za korea zenye plot ya revenge hazijawahi kuniangusha
Pamoja mkuuChuma Kali Sana, kama ni mpenzi wa porini ruka na my country au shine or go crazy.
Zote ni revenge na ni π₯ π₯
kama ya mjini ruka na tell me what you saw, Jang hyuk kachafua SanaPamoja mkuu
Nipe link mzeeMki hitaji series niambieni, ila muwe na telegram tu.
720p/ mb ni 100- hazizidi 200 per episode, naona nisaidie kwa style hiyo.
Korea, Chinese, kizungu bado sijapa nafasi kivile, ila zitakuwepo.
# achaneni na ule uchafu wa nkiri, mfalme nasolve hii π π.
Nifah, Razorblade, Razorblade, Selikavu, D A E M U S H I N, GITWA.
Sina link mkuu, ni store binafsiNipe link mzee
Yule jamaa amevurugwa πNaingia episode ya 4.
Aisee!!! Kwanza kuna mijitu ilitumwa kumuua mwamba, ilifika hatua reaction ya muuaji iliniacha hoi.
Maana ni kama hajawahi kukutana mtu mwenye roho katili ya namna hiyo
Uhakika mkuu π₯Mki hitaji series niambieni, ila muwe na telegram tu.
720p/ mb ni 100- hazizidi 200 per episode, naona nisaidie kwa style hiyo.
Korea, Chinese, kizungu bado sijapa nafasi kivile, ila zitakuwepo.
# achaneni na ule uchafu wa nkiri, mfalme nasolve hii π π.
Nifah, Razorblade, Razorblade, Selikavu, D A E M U S H I N, GITWA.
dah halafu wewe ndio wa kwanza kushare nae series, I'm nobody π₯π₯π₯.Uhakika mkuu π₯
Hii nimecheki trailer tu nimekubali nimeshusha zote , vyuma kama hivi vya pori vyenye siasa , mapanga , njama na Ujasusi ndio navitakaBaada ya kumalizana na Tempest nilistuck kwamba nitafuatilia drama gani. Ila juzi mdogo wangu aliniletea hii THE MURKY STREAM. NA Leo nimeimaliza.
Nilichojifunza ni kuwa bado Wakorea wanauwezo wa kutoa vitu vya moto.
Sifa kubwa ya drama hii ni utofauti. Humu ndani hamna mambo ya kujiremba, Jumba la kifalme.
Stori inahakisi uhalisia wa maisha ya dhidi wanayoishi watu kawaida sababu ya mifumo mibovu( Bureaucracy). Ukiamua kuwa mwaaminifu jua kuna gharama ya kulipa. Usaliti ni character ya waovu pia bear that in the mind too, wapo tayari kugeukana, kuua,kutoa sadaka ili kulinda kilicho chao.
Anyway kwangu mimi hii drama ni surprise package. Nadhani kwenye drama za kijijini za 2025 nilizotazama mwaka huu nadhanii ni nzuri zaidi.
Mambo ya kutoa kazi kwa Seasons sipendi basi tu.
Nipo zangu Gyeongju Province nimetulia.
Yes kwa sasa napenda za mjini sana. Kuna Buried Hearts pia nimeibookmarkkama ya mjini ruka na tell me what you saw, Jang hyuk kachafua Sana