Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

BAEK DONG SU ni top-notch.
Drama za zamani zina ladha fulani ambayo kupata kwenye drama za sasa mpk utafute sana.
Halafu ilikuwa raha sana kabla ya haya ma- Netflix , Disney, Amazon kuiingilia soko la korea na mambo ya seasons
Ninaicheki naikimbiza nipo episode 24 , ina balaa mastaa kibao ndani ya nyumba waliofanya vizuri katika series tofauti tofauti.

Halafu waneniwekea recommendation ya hii series vipi ni Kali ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ