Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

welcome ktk nchi ya uzao wa blue samurai (Japanese),
kuna chuma kinaitwa song of samurai kwa alie na muda aitafute..
wazee wa mitulinga, panga juu ya panga.
nimeacha kuandika makala, uzee umenifika
Tunasubiri ep 7 (kianzio cha season 2)

1781613886539.png

=========
favourite character -
serizawa kamo
a.k.a mzee wa bangi moto mdomoni, jeuri, goi goi.. upanga wa uhakika.
nimemkumbuka yeom moon ndani ya sea god (emperor of the sea)
adui lakini linaringa
1781614310794.png

ukitaka mechi nae useme na roho yako.
unaweza kupita kwenye mitandao kujifunza historia ya hawa jamaa
 
welcome ktk nchi ya uzao wa blue samurai (Japanese),
kuna chuma kinaitwa song of samurai kwa alie na muda aitafute..
wazee wa mitulinga, panga juu ya panga.
nimeacha kuandika makala, uzee umenifika
Tunasubiri ep 7 (kianzio cha season 2)

View attachment 3609036

=========
favourite character -
serizawa kamo
a.k.a mzee wa bangi moto mdomoni, jeuri, goi goi.. upanga wa uhakika.
nimemkumbuka yeom moon ndani ya sea god (emperor of the sea)
adui lakini linaringa
View attachment 3609040
ukitaka mechi nae useme na roho yako
Icheki furious pia, ya 2026 mjini
 
welcome ktk nchi ya uzao wa blue samurai (Japanese),
kuna chuma kinaitwa song of samurai kwa alie na muda aitafute..
wazee wa mitulinga, panga juu ya panga.
nimeacha kuandika makala, uzee umenifika
Tunasubiri ep 7 (kianzio cha season 2)

View attachment 3609036

=========
favourite character -
serizawa kamo
a.k.a mzee wa bangi moto mdomoni, jeuri, goi goi.. upanga wa uhakika.
nimemkumbuka yeom moon ndani ya sea god (emperor of the sea)
adui lakini linaringa
View attachment 3609040
ukitaka mechi nae useme na roho yako.
unaweza kupita kwenye mitandao kujifunza historia ya hawa jamaa
Haya ndio mambo napenda pamoja na kichaa wangu Intelligent businessman
 
Haya ndio mambo napenda pamoja na kichaa wangu Intelligent businessman
Hahaha nakupa list, maana future haitabiriki.

  • vigilante in the mask
  • nirvana in fire
  • the legend of the female general.
  • world of honor
  • the four
  • laughing in the wind
  • the woman in the family of swordmens.
-: journey to the flower
  • xuan yuan sword
  • ice fantasy
  • seventeen swordmens
 
1241

Binge moja la kazi Hong gil Dong
Mwamba namkubali sana aliigiza kama Muhuyul kwenye Six flying dragon , nikatamani nimuone tena sasa nimekuta kwenye hiko chuma .

NimeEnjoy sana hiyo kazi haijaniDissapoint kwenye kila sekta . Nimemaliza wiki hii mimi kama Mzee wa series za pori naipa 8/10
 
welcome ktk nchi ya uzao wa blue samurai (Japanese),
kuna chuma kinaitwa song of samurai kwa alie na muda aitafute..
wazee wa mitulinga, panga juu ya panga.
nimeacha kuandika makala, uzee umenifika
Tunasubiri ep 7 (kianzio cha season 2)

View attachment 3609036

=========
favourite character -
serizawa kamo
a.k.a mzee wa bangi moto mdomoni, jeuri, goi goi.. upanga wa uhakika.
nimemkumbuka yeom moon ndani ya sea god (emperor of the sea)
adui lakini linaringa
View attachment 3609040
ukitaka mechi nae useme na roho yako.
unaweza kupita kwenye mitandao kujifunza historia ya hawa jamaa
Wajapan walinivutia baada ya kuitazama THE LAST STANDING SAMURAI
 
The Husband

Jamaa ana mgogoro na mke wake na ameomba divorce waachane ingawa kazi anayofanya boss wake ni baba mkwe wake Wakati anampango wakuachana na Mke wake bahati mbaya Mke wake anatekwa na kutakiwa atoe kiasi fulani cha fedha ili mke wake aachiwe na mtekaji. Hajakaa sawa Police wanabaini kuwa yeye ndio amehusika na huo utekaji kutokana na ushahidi unavyoonesha na ukizingatia sio kweli yeye ndio amehusika unafikiri jamaa atafanyaje?
 
  1. agent kim reactivated - 2026
  2. mercy for none - 2025
SO JI SUB ameamua kutuonyesha upande mwengine wa sura yake.
baba bora mwenye siri nyingi, utulivu, ukimya, uthubutu, vitendo zaidi kuliko longo longo za mwesiga msemaji
Ngumi jiwe
 
Jamaa huwa hakosei
 
Back
Top Bottom