Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,025
- 28,097
Imekuwaje sikuhizi hakuna vyuma vya maana tena kutoka Korea? Huu ni mwezi sasa natafuta kdrama itakayouchukua muda wangu vizuri ila bado sijafanikiwa.
Ile movie Colony niliipata ila ni hovyohovyo tu, nikabaki najiuliza wale A-list stars walikubali vipi kucheza ujinga kama ule?
Ile movie Colony niliipata ila ni hovyohovyo tu, nikabaki najiuliza wale A-list stars walikubali vipi kucheza ujinga kama ule?