D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
amegeuka mvinyoJamaa huwa hakosei
amegeuka mvinyoJamaa huwa hakosei
Wewe umejuaje kama hahusikiThe Husband
Jamaa ana mgogoro na mke wake na ameomba divorce waachane ingawa kazi anayofanya boss wake ni baba mkwe wake Wakati anampango wakuachana na Mke wake bahati mbaya Mke wake anatekwa na kutakiwa atoe kiasi fulani cha fedha ili mke wake aachiwe na mtekaji. Hajakaa sawa Police wanabaini kuwa yeye ndio amehusika na huo utekaji kutokana na ushahidi unavyoonesha na ukizingatia sio kweli yeye ndio amehusika unafikiri jamaa atafanyaje?
Mtekaji tulioneshwa ni naniWewe umejuaje kama hahusiki
Mwamba anadharqu huyu, Serizawa kamo na siku amini kama Dogo OKITA ndo angamkalisha. Sema hawa wawili pambano lao lilikuwa sensational tangu episode ya kwanza.welcome ktk nchi ya uzao wa blue samurai (Japanese),
kuna chuma kinaitwa song of samurai kwa alie na muda aitafute..
wazee wa mitulinga, panga juu ya panga.
nimeacha kuandika makala, uzee umenifika
Tunasubiri ep 7 (kianzio cha season 2)
View attachment 3609036
![]()
Song of the Samurai (2026) Season 1 Series Download | NaijaPrey
Song of the Samurai (2026) Season 1 Series download mp4 | A live-action adaptation that translates this deep legacy to the screen. Set in Kyoto at the end ofwww.naijaprey.tv
![]()
DOWNLOAD Song of the Samurai Chapter S01 (Complete) | Japanese Drama
Download Song of the Samurai Chapter S01 (Complete) | Japanese Drama for free at nkiri.com. Download blockbuster Movies at nkiri.comthenkiri.com
=========
favourite character -
serizawa kamo
a.k.a mzee wa bangi moto mdomoni, jeuri, goi goi.. upanga wa uhakika.
nimemkumbuka yeom moon ndani ya sea god (emperor of the sea)
adui lakini linaringa
View attachment 3609040
ukitaka mechi nae useme na roho yako.
unaweza kupita kwenye mitandao kujifunza historia ya hawa jamaa
Pambano la Serizawa na Okita lilikua njema sana, Hijikata kila anapokua kwenye pambano na mtu anafanya suprise attack ambapo mpinzani hakutegemea kama ilivyokua kwa Hiriyama.Mwamba anadharqu huyu, Serizawa kamo na siku amini kama Dogo OKITA ndo angamkalisha. Sema hawa wawili pambano lao lilikuwa sensational tangu episode ya kwanza.
Dharau na kiburi chake nilimkumbuka Jang hyuk na Kim Nam gil
Wajan wanamfanano fulani katika culture na wakorea kuliko wakorea na wachina.
Toshizo yuko good ila aingemuweza Srizawa Kamo maana lile jitu ni heavyweight dogo alimmudu Serizawa sababu ni mwepesi sana.Pambano la Serizawa na Okita lilikua njema sana, Hijikata kila anapokua kwenye pambano na mtu anafanya suprise attack ambapo mpinzani hakutegemea kama ilivyokua kwa Hiriyama.
Serizawa ni kitengo maalumu aisee.Toshizo yuko good ila aingemuweza Srizawa Kamo maana lile jitu ni heavyweight dogo alimmudu Serizawa sababu ni mwepesi sana.
Nina lundo la series na yenyewe nikaishusha kabla sijaifikia kutazama wapondaji wakawa wengi nikaifuta kuclear nafasi nikashusha The Husband na Teach you a lesson.Nimeimaliza THE EASTERN PALACE
Koreans are just Koreans, kuna ladha fulani hawa watu wanayo ambayo huwezi ipata Japan & Wachina.
Kwangu mimi ni "Okay drama" inastahili muda wako.Nina lundo la series na yenyewe nikaishusha kabla sijaifikia kutazama wapondaji wakawa wengi nikaifuta kuclear nafasi nikashusha The Husband na Teach you a lesson.
Kama imenyooka nitaishusha tena. Naomba uthibitisho wako mkuu.
Ngoja nimalizane na hizi zilizopo kwanza.Kwangu mimi ni "Okay drama" inastahili muda wako.
Kama uliipenda A Scholar Who Walks the Night. hata hii utaipenda, hii inazungumzia roho zilipo kwenye jumba la kifalme wakati ile inazungumzia Vampire.
Hiyo Fiery priest nimeijaribu kama mara tatu imenishinda kabisaHizi drama zenye maudhui ya Action pamoja na comedies za kudokoa zina kismati cha kufanya vizuri sana.
1. Agent kim reactivated
2. Terius behind me
3. The fiery priest
4. Taxi driver
5. Life on Mars
Naweka kwenye list 🔥Bona Fide Killer
Zimetoka episodes 4 mpaka sasa ila drama kali 🔥🙌
Kuhusu wachina Intelligent businessman ndo anafahamu.HII BLADES OF THE GUARDIANS ilifaa kuwa series iagusa visa wakati wa Sui Dynasty. The best martial art film to watch in 2026.
Wu jing, Nicholas tao, Max Zhang & Jet li.
Muda huu bado natafuta historical drama nzuri za kikorea, je wachina historical drama zao ni nzuri siku hizi?
Aah okay, huku kwetu hamna kazi kali ya kufuatilia?Kuhusu wachina Intelligent businessman ndo anafahamu.
Nilizofatilia hivi karibuni ni The Husband na A shop for killers S02(nimeianza) nyingine ni A bona fide killer.Aah okay, huku kwetu hamna kazi kali ya kufuatilia?
Nimekuja kukutafuta nikwambie ulikuwa mbele ya wakati juu ya remarks zako kwa Baek Ji-Young 🙌🏼🙌🏼Hizi drama zenye maudhui ya Action pamoja na comedies za kudokoa zina kismati cha kufanya vizuri sana.
1. Agent kim reactivated
2. Terius behind me
3. The fiery priest
4. Taxi driver
5. Life on Mars