Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

View: https://www.youtube.com/watch?v=QjRZooK6nRg

walevi wa zamani tumekumbukwa, KBS wanakuja na hii project itakapofika mwezi novemba 2026.
wanasema itakuwa ni historical drama yenye bajeti kubwa sana.
Inaitwa the great king MUNMU.

kwa aliebahatika kuangalia
dream of emperor (king's dream) ya choi soo jung,
dae jo young ya choi soo jung,
queen seondeok drama,
hata yeon gae somun (sidhani kama kuna alieiona)

mtazamaji atakuwa anarejea kwenye maeneo hayo.

hii inamzungumzia mfalme munmu (alikuwa ni mtoto wa chunchu), huyu bwana alikuja kuhitimisha safari ya kuziunganisha three kingdom (shilla, goguryeo na baekje).

ndani tutakutana na
jang hyuk - ameigiza uhusika wa general yeon gae somun wa goguryeo (history yake inafahamika),
lee hyun wook - ataigiza uhusika wa king Munmu.
Park sung woong - ataigiza uhusika wa general kim yu shin
Kim kang woo - ataigiza uhusika wa chunchu (baba yake King Munmu), huyu bwanaa alipewa heshima ya King Taejo Muyeol wa Shilla..

supporting actors
kim woo dam - uhusika wa Gye baek (historia yake inafahamika)
lee ji hoon - uhusika wa BI DAM (stori yake inafahamika)

kihistoria baada ya kufa queen seondeok, alikuja mtawala mwengine wa kike ambae aliitwa Jindeok,
baada ya kufa Jindeok ndio alikuwa CHUNCHU.
kama nitakuwa sahihi ndani ya tamthilia ya queen seondeok huyu chunchu alikuwa mtoto wa dada yake deokman.

nazungumzia kiuso wa drama

Jang hyuk yupo ndani!! Kazi itakuwa ya moto, pia nahisi episode chache si km zaman episode 50 mpk 200
 
Kwenye Empress Ki aliua sana...kifupi watu wote waliocheza mle ndani waliitendea haki ile kazi. Juzijuzi nilikuwa naangalia The Judge Returns nikawa nakuna sana kichwa najiuliza haka kadada nilikaona wapi mbona nakajua kabisa, kumbe kapo Empress Ki
View attachment 3660754
Nakushauri ukipata muda itafute Hwangjin ipo mjini YouTube( HD) absolutely she's a versatile actress.
 
Ila mimi ndio maana huwa nachukia spoilers na najitahidi kuziepuka kwa gharama yoyote. Nipo naangalia Mouse, drama inayosifiwa na kila mtu anayeiangalia...hata na wale wasio mashabiki wa K-drama ila kwangu mimi siilewi wala. Kwa sababu nilishajua kuwa officer Jung ndio serial killer kwa hiyo ile excitement ya kufuatilia tukio kwa tukio haipo kabisa.
 
Endelea kufatilia.
 
Upo sehemu ya ngapi tupeane hamasa maana nina zaidi ya mwezi sijaichek kutokana na kumjua adui mkuu halafu nimehisi ameonewa sana
 
welcome ktk nchi ya uzao wa blue samurai (Japanese),
kuna chuma kinaitwa song of samurai kwa alie na muda aitafute..
wazee wa mitulinga, panga juu ya panga.
nimeacha kuandika makala, uzee umenifika
Tunasubiri ep 7 (kianzio cha season 2)

View attachment 3609036

=========
favourite character -
serizawa kamo
a.k.a mzee wa bangi moto mdomoni, jeuri, goi goi.. upanga wa uhakika.
nimemkumbuka yeom moon ndani ya sea god (emperor of the sea)
adui lakini linaringa
View attachment 3609040
ukitaka mechi nae useme na roho yako.
unaweza kupita kwenye mitandao kujifunza historia ya hawa jamaa
Kuna dogo anaitwa okita soji ,anapiga panga vizuri kishenzi.

kwa list yangu ya wakali wa panga katika movie hiyo :

1. okita soji
2.Serizawa kamo ( mzee wa bangi)
3.Hajime
4.Hijikata Toshizo
5. Isami kondo
 
Back
Top Bottom