Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nipo nusu ya safari( episode ya 12) kazi ya mwanamama HAJI WON, hii kitu ilitoka 2006 inaitwa HWANGJIN.
Sometimes tusiwalaum sana hiki kukosa kazi kali maana kazi za zamani zote zilikuwa kali, walishamaliza utamu wote. Ukitazama unafeel korean culture, creativity & genuineness. Hii kazi inakupa vibe ya Dong Yi, Dae Jang geum, Yi san, SangDo.

Uhabawa wa kazi tamu mfululizo haupo tu Korea bali duniani kote.

By the way huyu Ha jiwon anajua.
Kuanzia nilipomuona kwenye Empress Ki, King 2 Heart, Damo na humu kwenye Hwangjin 🔥. Nakumbuka kuna mwamba humu ndani alikuwa anamkubali kichizi
 
Kwenye Empress Ki aliua sana...kifupi watu wote waliocheza mle ndani waliitendea haki ile kazi. Juzijuzi nilikuwa naangalia The Judge Returns nikawa nakuna sana kichwa najiuliza haka kadada nilikaona wapi mbona nakajua kabisa, kumbe kapo Empress Ki
MV5BOTZlNTZkOTAtOTZiOS00NjA2LWIwZTQtODQ2ZDdhZDNjODU5XkEyXkFqcGc@._V1_.jpg
 
Siku hizi sijui nimepatwa na nini kila drama ninayojaribu kuangalia inanishinda. Naombeni recommendations basi ndugu zanguni. Genre yoyote kasoro horror (za mazombi)
Nipo naangalia A bona fide killer imekaa njema pita nayo.

Angalia The Husband pia nayo ipo njema.
 
Mwamba anadharqu huyu, Serizawa kamo na siku amini kama Dogo OKITA ndo angamkalisha. Sema hawa wawili pambano lao lilikuwa sensational tangu episode ya kwanza.
mwanzoni mwa episode ya mwisho walitupa background ya maisha yao ya utotoni.
baada ya hapo ndio kidogo nikajipa imani kwamba OKITA anaweza kupata ushindi wa bao la mkono.
kumbe Okita nae ni shetani (ruthless)
 
Pambano la Serizawa na Okita lilikua njema sana, Hijikata kila anapokua kwenye pambano na mtu anafanya suprise attack ambapo mpinzani hakutegemea kama ilivyokua kwa Hiriyama.
ile series imenifanya niende deep kidogo kuwafahamu wajapani na historia yao (sikuwa naelewa historia yao).
kwa kiasi kikubwa masimulizi ya ile series yana ukweli wa kihistoria.

ukisoma history ya yule bwana mdogo (Shinsaku Takasugi) alieonekana mwishoni mwa series , yule bwana mdogo ndio aliongoza mapambano ya kung'oa utawala wa SHOGUN na kuzaliwa kwa MEIJI RESTORATION (JAPAN MPYA).

pia alianzisha kampeni ya kuanzishwa kwa jeshi la matabaka yote ya wajapani (aliondoa mfumo wa samurai).
lakini alikufa akiwa kijana mdogo sana (miaka 27) na kushindwa kushuhudia kutimia kwa ndoto zake.
1788270937356.png

1788271030136.png
 
Nimekuja kukutafuta nikwambie ulikuwa mbele ya wakati juu ya remarks zako kwa Baek Ji-Young 🙌🏼🙌🏼
:BLAAP::BLAAP::BLAAP::BLAAP:
bingo,
alipaswa azaliwe magharibi ili dunia imfahamu zahadi mfano wa wale wadada watatu (celine, whitney na mariah)
 
Nipo nusu ya safari( episode ya 12) kazi ya mwanamama HAJI WON, hii kitu ilitoka 2006 inaitwa HWANGJIN.
Sometimes tusiwalaum sana hiki kukosa kazi kali maana kazi za zamani zote zilikuwa kali, walishamaliza utamu wote. Ukitazama unafeel korean culture, creativity & genuineness. Hii kazi inakupa vibe ya Dong Yi, Dae Jang geum, Yi san, SangDo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=QjRZooK6nRg

walevi wa zamani tumekumbukwa, KBS wanakuja na hii project itakapofika mwezi novemba 2026.
wanasema itakuwa ni historical drama yenye bajeti kubwa sana.
Inaitwa the great king MUNMU.

kwa aliebahatika kuangalia
dream of emperor (king's dream) ya choi soo jung,
dae jo young ya choi soo jung,
queen seondeok drama,
hata yeon gae somun (sidhani kama kuna alieiona)

mtazamaji atakuwa anarejea kwenye maeneo hayo.

hii inamzungumzia mfalme munmu (alikuwa ni mtoto wa chunchu), huyu bwana alikuja kuhitimisha safari ya kuziunganisha three kingdom (shilla, goguryeo na baekje).

ndani tutakutana na
jang hyuk - ameigiza uhusika wa general yeon gae somun wa goguryeo (history yake inafahamika),
lee hyun wook - ataigiza uhusika wa king Munmu.
Park sung woong - ataigiza uhusika wa general kim yu shin
Kim kang woo - ataigiza uhusika wa chunchu (baba yake King Munmu), huyu bwanaa alipewa heshima ya King Taejo Muyeol wa Shilla..

supporting actors
kim woo dam - uhusika wa Gye baek (historia yake inafahamika)
lee ji hoon - uhusika wa BI DAM (stori yake inafahamika)

kihistoria baada ya kufa queen seondeok, alikuja mtawala mwengine wa kike ambae aliitwa Jindeok,
baada ya kufa Jindeok ndio alikuwa CHUNCHU.
kama nitakuwa sahihi ndani ya tamthilia ya queen seondeok huyu chunchu alikuwa mtoto wa dada yake deokman.

nazungumzia kiuso wa drama
 
ile series imenifanya niende deep kidogo kuwafahamu wajapani na historia yao (sikuwa naelewa historia yao).
kwa kiasi kikubwa masimulizi ya ile series yana ukweli wa kihistoria.

ukisoma history ya yule bwana mdogo (Shinsaku Takasugi) alieonekana mwishoni mwa series , yule bwana mdogo ndio aliongoza mapambano ya kung'oa utawala wa SHOGUN na kuzaliwa kwa MEIJI RESTORATION (JAPAN MPYA).

pia alianzisha kampeni ya kuanzishwa kwa jeshi la matabaka yote ya wajapani (aliondoa mfumo wa samurai).
lakini alikufa akiwa kijana mdogo sana (miaka 27) na kushindwa kushuhudia kutimia kwa ndoto zake.
View attachment 3661277
View attachment 3661278
Japan wanakazi nzuri mkuu baada ya kumalizana na Song of Samurai nikaenda kuangalia Rurouni Kenshin imehusisha kwa uchache story ya Shinsengumi ila characher ambaye amehusika kwa nafasi kubwa kwenye Rurouni aliyetokea kwenye Shinsengumi ni Hajime.

Katika histora ya Japan kudondosha utawala wa Shogunate watu wamepambana kwa jasho na damu.

Natumai umeiona hii movie zipo 5 ni umeme balaa, zinapigwa panga si mchezo.
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=QjRZooK6nRg

walevi wa zamani tumekumbukwa, KBS wanakuja na hii project itakapofika mwezi novemba 2026.
wanasema itakuwa ni historical drama yenye bajeti kubwa sana.
Inaitwa the great king MUNMU.

kwa aliebahatika kuangalia
dream of emperor (king's dream) ya choi soo jung,
dae jo young ya choi soo jung,
queen seondeok drama,
hata yeon gae somun (sidhani kama kuna alieiona)

mtazamaji atakuwa anarejea kwenye maeneo hayo.

hii inamzungumzia mfalme munmu (alikuwa ni mtoto wa chunchu), huyu bwana alikuja kuhitimisha safari ya kuziunganisha three kingdom (shilla, goguryeo na baekje).

ndani tutakutana na
jang hyuk - ameigiza uhusika wa general yeon gae somun wa goguryeo (history yake inafahamika),
lee hyun wook - ataigiza uhusika wa king Munmu.
Park sung woong - ataigiza uhusika wa general kim yu shin
Kim kang woo - ataigiza uhusika wa chunchu (baba yake King Munmu), huyu bwanaa alipewa heshima ya King Taejo Muyeol wa Shilla..

supporting actors
kim woo dam - uhusika wa Gye baek (historia yake inafahamika)
lee ji hoon - uhusika wa BI DAM (stori yake inafahamika)

kihistoria baada ya kufa queen seondeok, alikuja mtawala mwengine wa kike ambae aliitwa Jindeok,
baada ya kufa Jindeok ndio alikuwa CHUNCHU.
kama nitakuwa sahihi ndani ya tamthilia ya queen seondeok huyu chunchu alikuwa mtoto wa dada yake deokman.

nazungumzia kiuso wa drama

dae jo young ya choi soo jung,
queen seondeok drama,
hata yeon gae somun"

Zote hizo nimeangalia, bila kusahau kazi kama DAE JUNG GEUM , DONG YI na KING GWANGGAETTO.

Enzi hizo ulikuwa ukishika historical drama unaenjoy kwelikweli.
 
Back
Top Bottom