Kwa dunia hii ya leo, ukiwa mpenda movies na series, gamer au streamer, kitu cha kwanza kuwazia ni Wi-fi ya uhakika.Stream kupitia bilibili, tumia google chrome ku search au download app.
Ushauri wi- fi ihusike, usije sema sikusema 😅
Naam, muda mwingime nikirudi maskani, naishia kucheza group game mpaka usiku mzitoKwa dunia hii ya leo, ukiwa mpenda movies na series, gamer au streamer, kitu cha kwanza kuwazia ni Wi-fi ya uhakika.
Kuhusu hilo usiwaze.
Asante ila nime vurugwa na mizigo mingi mno.Kuna series moja inaitwa "The atypical family" ushaicheki ?, ni nzuri mno
zote za kikorea tu au huwa unachanganyaAsante ila nime vurugwa na mizigo mingi mno.
Korea, india, chinese, Philippines, na nyingine nyingi.zote za kikorea tu au huwa unachanganya
Yea, hakuna kuchagua maadam inakidhi vigezo vyetu.
Naam kaka, vigilante in the mask una ijua?Yea, hakuna kuchagua maadam inakidhi vigezo vyetu.
Na leo nimemaliza REBIRTH seasons 40
Hapana ipo YouTube au wapi niruke Naya sasa hivi. Maana hapa na search ya kuanza sasa hiviNaam kaka, vigilante in the mask una ijua?
Yap ipo YouTube, apple tv au baiduHapana ipo YouTube au wapi niruke Naya sasa hivi. Maana hapa na search ya kuanza sasa hivi
Naanza nayo sasa hivi nishaionaNaam kaka, vigilante in the mask una ijua?
GITWA ruka na hiyo chinese mpya ni kali pia, barikiwa kwa update bro.ZHAN ZHAO ADVENTURES🔥
Sema anza na vigilante in the mask kwanzaGood, ngoja nihamie hapa
Nakuunga mkono kijana mpaka nimejikita nimerudi kwa wazungu na shida drama nyingi za Korea huwa wanalazimisha kila drama iwe na comedy na comedy zimekata kitoto sanaImekuwaje sikuhizi hakuna vyuma vya maana tena kutoka Korea? Huu ni mwezi sasa natafuta kdrama itakayouchukua muda wangu vizuri ila bado sijafanikiwa.
Ile movie Colony niliipata ila ni hovyohovyo tu, nikabaki najiuliza wale A-list stars walikubali vipi kucheza ujinga kama ule?