Season 1 niliishusha naona uvivu kuitazama. Ngoja niiangalieMADE IN KOREA SEASON 2:
Dude limerejea tena kwa wale tulioangalia season 1, pale mihimili miwili inapoamua kuonyeshana nguvu.
wahuni waliopo idara ya usalama wa taifa pamoja na waendesha mashitaka.
View attachment 3666649
Karibu tena. Tulikumiso 😍Ameen Ameen
Hope uko poa pia
Hehehe wasiwasi lazima.
Sikujua kama nimekaa sana ila ilivyofungiwa sikuwa na ujanja wa kuingia, nikiingia inahema tu JF aah mateso nikaifuta…
Karibu tena. Tulikumiso 😍
Kazi kali za korea zimepungua mno.Du!? Jukwaa letu siku hizi limepwaya sana
Wengi humu tushazeeka, tumekosa damu changa za kuchangamsha jukwaaDu!? Jukwaa letu siku hizi limepwaya sana
Sunshine haiumizi kichwa haina twist sanaKazi kali za korea zimepungua mno.
Sikuwahi kuangalia Mr. Sunshine ndo naiangalia hivi sasa naona story yake inaeleweka kirahisi mno, nilivyoona inasifiwa sana nilidhani ni story ngumu.
Kweli hua nafatilia vijana watupe vigongo vya kutuburudisha lakini kwa sasa ni hakuna.Wengi humu tushazeeka, tumekosa damu changa za kuchangamsha jukwaa
Nishaziangalia zaidi ya mara tatu. Natamani kitu kipya cha aina hizo ili nisisimue ubongoJang ok Jung anawapa nightmare maadui zake.
(Dong Yi, Jang ok jang na Royal Gambler) zote hizi zina eleza visa wakati wa Mfalme Suk Jeong. But story tofauti.
Kazi za hivi kuzipata ni kaziNishaziangalia zaidi ya mara tatu. Natamani kitu kipya cha aina hizo ili nisisimue ubongo
Screenwriter katukosea sana. Siangalii kazi zake zengineMousetrap…
Vile ti Ryu jeon ni bonge la Actor ila ingekua flop, katudanganya mwenyewScreenwriter katukosea sana. Siangalii kazi zake zengine
Kazi za hivi kuzipata ni kazi
Zote nimeziona kasoro mbili tu Clowned clown na Mr Sun shine , hiyo list uliyoweka ipo 🔥 🔥 🔥Six flying Dragons
Tree with Deep roots
Empress ki
Ju mong
Arthridal chronicles
Crowned clown
Mr sunshine
Kama hujaona hizi basi bado hujaona