Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

aigooo unatumia username gani au unakuwa unatembelea tu?
Mi huwa Natembelea tuh ila kuna siku nilitaka kujiuunga ikaniletea Ishu za Facebook Nami Facebook Sipo Nikamua niaache kwanza so huwa napeluuzi tuh
Mule ndani kuna Watu wanamapenzi Hatari ...
 
Mi huwa Natembelea tuh ila kuna siku nilitaka kujiuunga ikaniletea Ishu za Facebook Nami Facebook Sipo Nikamua niaache kwanza so huwa napeluuzi tuh
Mule ndani kuna Watu wanamapenzi Hatari ...
umeona eeeeeh mimi mwenyewe naishia kuperuza thread tu
 
ndio nimeianza wakati huu.hawa wakorea ukiwaendekeza unasahau kila kitu
MBC Presents
The King Loves 왕은 사랑한다

Second Lead Nimemueelewa Umu,Kwenye Moon lovers Kama Nilimchukia Ivi....Yaani ndo uzuri Wa Awa watu wanakupa Package Zima ya Actor O Actress Wao, Unaenjoy Both Sides Good and Bad..
 
wakorea makeup zao ni balaaa yaani hata kama una miaka 50 unaonekana bado kijana
 
Second Lead Nimemueelewa Umu,Kwenye Moon lovers Kama Nilimchukia Ivi....Yaani ndo uzuri Wa Awa watu wanakupa Package Zima ya Actor O Actress Wao, Unaenjoy Both Sides Good and Bad..
alikuwa anapendwa sana na queen dowager
 
gentlemanx inahusu mapenzi kati ya dokta na mwanajeshi. Wote wapo busy na kila mmoja mwanzon haiamin kazi ya mwezie hasa dokta aliona mjeshi sio mtu wa kupendwa ila baadae wakaelewana vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…