Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nilimkubali Sana Mo Hyul, Hii Drama Nilikuaga Naangalia Na Dogo Langu Mmoja Ivi Yaani Mpka Leo Umwambia Kitu Kwa Moo Hyul,Ila Lee Bangi Ji Kacheza Sana Umu Ndani...Dooohh Nimejikuta Nawakumbuka Etiii
Ktk hii bana mm nametokea kumkubali huyu jamaa GIL TAE-MIL wakat naanza kuichek nlzan jamaa flan lain lain hv kumbee
ngoja ashike panga utamuelewa2

Mshkaji anatembea na mapanga yake mawili mifukoni mm nazan hata kula alikua analala nayo

Kuna ile sehem walipoenda kumkamata jeshi la wa2 500 linaogopa
Halafu anawaambia mngenkamata wakati nna njaa lakn sasa nshashba hamwezi km huamn anayetaka namtangulize kuzm ansogeleee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm pia nakushauri uichek ina story na mtiririko wa matukio mzur na hata kunascene zita catch u're feelings

Ila km nm2 wakupenda action sana km mm kuna baadhi ya episode hazna action ila ukikuta yenye action hatari
Aisee ngoja nimalizie kiporo flani hiv kisha niluke nayo, vp kucheka kuna kucheka humo kwel
 
Nimecheki Episode ya kwanza ina Kama 578Mb Kama sikosei hiv
Duuuh!! Jaribu kucheki Dramafire au Myasiantv, Dramanice inanyonya Sana Mb,Iyo drama ni ya Mwaka Jana Kama Sikosehi Kwa Iyo aiwezi kuwa Na Mb zote Hizo Kama Izi Mpya, Coz Izi mpya zenyewe Zina Kama Mb 300 mpka Nne, Sa Jaribu kucheki Uko Kama Auyojari
 
Kwani Hollywood INA Uspesho Gani?? Au ni Zile Budget Zao??
daah ila jaman tuache kujifurahisha kulinganisha hollywood na korea,wazungu muda mwingi wapo smart sana yan wanafikiria mbali sana na pesa ndio wanaiwekeza haswaa.. hii ni thread ya korean series na ni nzuri sana kwa mfano mi napenda jumong na kingdom of the wind pia iris so tuachane na comparison kwa hollywood tubaki na hawa hawa wenzangu na mimi wanajitahidi though!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hmmm!!! Panapo na Jitihada Za Watu kufnya kazi na Ikaonekna Toeni Sifa.. Sijaona Uko Kufikiria Mbali Kwa Ao Hollywood... Labda useme ishu ni Budget, Siku Zote pnapo na Ela Panasifika na kusahau Uhalisia Uzuri Na Maana ya Icho kitu..Kwa Story Zenye Ubora na Mtiririko Mzuri Korea ni Best Na Wapo Vizuri Mkuu...
 
sawa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
안녕하세요? Naombeni link ya kudownload tv series 염개소문 (yeogaesomun) yenye engoish sub. Nimeangaika kuitafuta mpaka nimekata tamaa
 
안녕하세요? Naombeni link ya kudownload tv series 염개소문 (yeogaesomun) yenye engoish sub. Nimeangaika kuitafuta mpaka nimekata tamaa


Ndo hiii

Yeon Gae So Mun/The Great Hero
2006/2007
Episodes [HASHTAG]#100[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…