Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Dooh Damushin wewe sio wa nchi hii kati ya hizo ulizotaja nimeangalia tatu sijui nne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damushin lakin huu ukoo si Nimchanganyiko wa Koo ya Yuan,Uyu Wang si ndo alotokea kwenye pande mbili Ama???
 
Damushin lakin huu ukoo si Nimchanganyiko wa Koo ya Yuan,Uyu Wang si ndo alotokea kwenye pande mbili Ama???
Hii drama sijaiangalia lakini kwa mujibu wa historia baade goryeo ilikuwa chini ya nguvu ya yuan dynasty taifa lilioanzishwa na Kublai khan kutoka mongolia kwa muungano wa lazima kwa miaka takriban 80
 
Hii drama sijaiangalia lakini kwa mujibu wa historia baade goryeo ilikuwa chini ya nguvu ya yuan dynasty taifa lilioanzishwa na Kublai khan kutoka mongolia
Yap APA sasa naelewa, Na ilikuwa chini ya yuan Baada kama ya vita ya miaka 30 yuan ikashindwa kuichukua Goryeo Mazima ila Baada ya king wa kipindi icho APA sijajua jina lake kuona vile vita vinaumiza wanachi wake ikabidi Afanye Mazungumzo na Yuan na kuamua kumtuma kijana wake ambaye ni prince( APA Kwenye majina ni mtihani kidogo)aende akafanye mazungumzo ya Amani na Yuan...
ila alivyokuwa njiani alipata taarifa ya kuwa Baba wa kublah khan amefariki Na kuna vita kati ya Makaka wawili Ambao walikuwa wanagombania kiti Mmoja Wao ndo huyo kublah khan..

Yule Prince alivyofika kule yuan ikabidi Aside na Kublah na kumaliza tofauti Zao Kwamba yuan istopishe vita na goryeo Na Moja ya matakwa yao ni kuwa kila king atakae kalia kile kiti itabidi Amuoe bint wa yuan

Ndo tunaona kwenye hii drama Kwamba Uyo Wang won( Siwan) ndo mjukuu wa kublah khan Ambaye mama Yake ni bint wa Yuan Na Ni mjukuu Kipenzi sana wa Kublah khan ambaye mwisho wa Siku alikuja mtibua babu Yake Baada ya kumuo bint wa goryeo tofauti na Makubariano Yap...
Ila akaja Muoa bint wa yuan kwa Lazima...
 
hapha ni cheo kama cha waziri mkuu ambaye ana maamuzi makubwa kuliko mfalme au rais wa nchi.ukiangalia drama ya god of war utajifunza mengi sana kuhusiana na uvamizi wa mongolia dhidi ya goryeo kwa miaka 30 mpaka goryeo wakahamisha mji mkuu kwa kuondoka gaegyeong
 
Hii god of War inabidi niitafute
 
Aigoooo, Guud News Nahisi Itakuwa Kali.....

Damushin ina Maana Kuwa Hii Nchi Aiwezi Kusimama Yenyewe?

Na Kwa Nini Walitengana Na Wenzao? Ni swali Ambalo Silijuagi Jibu Lake Mpka Leo... Please Help..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…