Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

  1. iris 2 = jang hyuk
  2. athena goddess of war = jung woo sung
  3. 3 days = park yoo chun
  4. a man called a god = song il kook
  5. 2 weeks = lee joon gi
  6. voice = jang hyuk
  7. heartless city = jung kyung ho
  8. police unit 38 = seo in guk
  9. time between dog and wolf = lee joon gi
  10. healer = ji chang wook
  11. signal = lee je hoon
  12. nine times travel = lee jin wook
  13. i miss you = park yoo chun
  14. defendant = ji sung
  15. tunnel = choi jin hyuk (Khantwe oppa)
  16. vampire prosecutor = yeon jung hoo
[HASHTAG]#karibu[/HASHTAG]
Dooh Damushin wewe sio wa nchi hii kati ya hizo ulizotaja nimeangalia tatu sijui nne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_5727d7fd6.jpg

IMG_57290758c.jpg

IMG_5733d5d87.jpg

IMG_57347b9cd.jpg

IMG_572887010.jpg

IMG_5727d7fd6.jpg

IMG_5737c6560.jpg

TONIGHT EPISODE
 
Sasa noona ukoo wa Wang ndio uliokuwa na mamlaka wa kuitawala goryeo kwa sababu muanzilishi wa taifa hilo aliitwa wan gun.baada ya general yi seong ye kuitawala joseon ndio ukawa mwisho wa utawala wa Wang na ukaanza utawala wa Yi (Lee).
Yi bang sook,yi bang won,yi do n.k
Damushin lakin huu ukoo si Nimchanganyiko wa Koo ya Yuan,Uyu Wang si ndo alotokea kwenye pande mbili Ama???
 
Damushin lakin huu ukoo si Nimchanganyiko wa Koo ya Yuan,Uyu Wang si ndo alotokea kwenye pande mbili Ama???
Hii drama sijaiangalia lakini kwa mujibu wa historia baade goryeo ilikuwa chini ya nguvu ya yuan dynasty taifa lilioanzishwa na Kublai khan kutoka mongolia kwa muungano wa lazima kwa miaka takriban 80
 
Hii drama sijaiangalia lakini kwa mujibu wa historia baade goryeo ilikuwa chini ya nguvu ya yuan dynasty taifa lilioanzishwa na Kublai khan kutoka mongolia
Yap APA sasa naelewa, Na ilikuwa chini ya yuan Baada kama ya vita ya miaka 30 yuan ikashindwa kuichukua Goryeo Mazima ila Baada ya king wa kipindi icho APA sijajua jina lake kuona vile vita vinaumiza wanachi wake ikabidi Afanye Mazungumzo na Yuan na kuamua kumtuma kijana wake ambaye ni prince( APA Kwenye majina ni mtihani kidogo)aende akafanye mazungumzo ya Amani na Yuan...
ila alivyokuwa njiani alipata taarifa ya kuwa Baba wa kublah khan amefariki Na kuna vita kati ya Makaka wawili Ambao walikuwa wanagombania kiti Mmoja Wao ndo huyo kublah khan..

Yule Prince alivyofika kule yuan ikabidi Aside na Kublah na kumaliza tofauti Zao Kwamba yuan istopishe vita na goryeo Na Moja ya matakwa yao ni kuwa kila king atakae kalia kile kiti itabidi Amuoe bint wa yuan

Ndo tunaona kwenye hii drama Kwamba Uyo Wang won( Siwan) ndo mjukuu wa kublah khan Ambaye mama Yake ni bint wa Yuan Na Ni mjukuu Kipenzi sana wa Kublah khan ambaye mwisho wa Siku alikuja mtibua babu Yake Baada ya kumuo bint wa goryeo tofauti na Makubariano Yap...
Ila akaja Muoa bint wa yuan kwa Lazima...
 
hapha ni cheo kama cha waziri mkuu ambaye ana maamuzi makubwa kuliko mfalme au rais wa nchi.ukiangalia drama ya god of war utajifunza mengi sana kuhusiana na uvamizi wa mongolia dhidi ya goryeo kwa miaka 30 mpaka goryeo wakahamisha mji mkuu kwa kuondoka gaegyeong
 
Hii god of War inabidi niitafute
 
jana nchini korea kusini kulifanyika press conference kwa ajili ya utambulisho wa Historical movie inayojulikana kwa jina la THE FORTRESS.
the fortress ni movies ambayo inazungumzia tukio lililotokezea 1636 nchini joseon wakati wa utawala wa mfalme Injo baada ya utawala wa china unaojulikana kwa jina la qing dynasty kuivamia kijeshi taifa la joseon jambo ambalo lilimpelekea mfalme Injo pamoja na watumishi wake kukimbilia Namhan Mountain Fortress eneo ambalo lipo umbali wa km 24 kutoka kusini mashariki mwa mji wa SEOUL. Vita hiyo ilisababisha taifa la joseon kukubali (surrendered) kuwa koloni la china katika mwaka 1636.
kwa mujibu wa rekodi mbali mbali za kihistoria inasemekana mfalme alikaa sehemu hiyo pamoja na jeshi la joseon kwa siku 47 tukio hilo linachukuliwa kama ni miongoni mwa matukio ya fedheha kuwahi kuikumba tawala ya korea.
directoctor hwang dong hyuk jana (23/08/2017)alisema maneno yafuatayo wakati wa mkutano
AEN20170823006600315_01_i.jpg

" imenifanya nikumbuke uvamizi wa taifa la Qing 1636 tukio ambalo nimelifahamu zaidi kwa kusoma riwaya mbali mbali zinazozungumzia tukio hilo, kiukweli nimefurahishwa na kushangazwa sana baada ya kujifunza mambo mengi na ya kushangaza yaliyotokezea ndani ya ngome, ukweli ni kwamba mambo yaliyotokezea wakati ule yanashabihiana sana na yanayotokezea wakati huu ndio maana niliamua kutengeneza movie ili kuwawezesha watizamaji kujifunza na kulinganisha yaliyopita na yanayoendelea kutokezea wakati huu katika taifa letu.
aliendelea kusema
20170823_22.jpg

"leo hii taifa letu la korea linapitia kipindi kigumu kwa sababu taifa letu lipo chini ya kivuli cha nchi mbili zenye nguvu duniani za Marekani na China jambo ambalo linashabihiana na yaliyotokezea kwenye karne ya 17 wakati tulipokuwa chini ya kivuli cha taifa la Ming dynasty na baadae Qing Dynasty yote kutoka china.
pia director amefurahishwa zaidi na ushirikiano mkubwa ulioneshwa na waigizaji wakuu wa movie hii akiwemo lee byung hun, kim yoon seok, go soo, park hae il, jo woo jin.

20170823_50.jpg

movie hii inatarajiwa kuonekana september 27
Aigoooo, Guud News Nahisi Itakuwa Kali.....

Damushin ina Maana Kuwa Hii Nchi Aiwezi Kusimama Yenyewe?

Na Kwa Nini Walitengana Na Wenzao? Ni swali Ambalo Silijuagi Jibu Lake Mpka Leo... Please Help..
 
Back
Top Bottom