Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Naikubali sana OCN.Drama Kali za serious zinapatikana OCN kuanzia tunnel,save me,voice,vampires prosecutor na nyngne nyng,drama za kutisha kama kawa ni TVN
Tumia dramania kama unatumia simu...mimi naangalia online dramabusJamani wapi nitadownload drama ya Black? kissasian wanazingua
Ngoja nijaribu.Tumia dramania kama unatumia simu...mimi naangalia online dramabus
Hichi chakula kinaonekana kitamuuuuu balaa[emoji3] [emoji3]
- hivi jamani kuna mtu yoyote aliyoangalia korean drama ya mjini halafu ikawa watu hawali supu ya tambi(ramyeon)? kama ipo niambieni niitafute.
Jaribu kuitazama ep ya 1 tu, Mkuu!Kweli eeh? Mimi sijaangalia bado
Kwa ule ulaji wao inaonesha chakula kitamu huwa wanani tamanishaga[emoji12] [emoji39]Hichi chakula kinaonekana kitamuuuuu balaa[emoji3] [emoji3]
Huyu jamaa ananifurahisha kweli [emoji16]
Yupo Vizuri..Huyu jamaa ananifurahisha kweli kwenye hii drama[emoji16]