omo omo nishakuwa 'hyung" tena hahahaha! Sunbae-nim acha hizo mimi ni dongsae wako.. LOLomo omo omo ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta thread nyengine nzuri za kuchangia hivyo basi naomba unisaidie hyungnim kutafuta.
Hii Tena Lazima Aueeenatamani apige show moja matata sana kama ile ya japan 2013 na amualike mwanamama LEE SUN HEE
Ne! Sunbae-nim.ok itanibidi nikuite dongsaeng kuanzia sasa
Huyu alicheza km mtt wa kishua
- oh my geum bi
- jang yeong sil
- you are the best
- my daughter the flower
1, 4 & 6 Izi Zitanilazimu Kidogo...6 korean dramas November 2017
- MONEY FLOWER: itaonyeshwa na MBC pindi itakapomaliza good thief bad thief drama
- MELOHOLIC : itakuwa ni drama ya pili ya mapenzi kuonyeshwa kupitia channel ya OCN baada ya my secret romance,itaonekana siku ya jumatatu na jumanne.
- I’M NOT A ROBOT: ingizo jengine jipya kupitia MBC kuanzia tarehe 8
- NOTHING TO LOSE: itakapomaliza while you were sleeping ndipo itakapoanza drama hii kupitia SBS tv.baada ya queen for seven days yeon woo jin amerudi tena
- UNTOUCHABLE : jin goo alifanya vizuri sana ndani ya descendent of the sun akiwa muigizaji msaidizi. JTBC ndio watakaoonyesha drama hii.
DOUBTFUL VICTORY : baada ya rebel thief YOON KYUNG SANG amerudi tena, drama hii itaonyeshwa na kituo cha SBS tv pindi itakapomaliza Temperature of love mnamo tarehe 27
Mbona nilikuita jana tafuta kwenye jukwaa hilihili au nikuite tena?Wapi Uko??
Yaah Niite..Mbona nilikuita jana tafuta kwenye jukwaa hilihili au nikuite tena?
Nimekuita au mpaka niite Mrs Lee ndo utasikia?[emoji57] [emoji57]Yaah Niite..